Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwani tulipowafunga Uganda 3 - 0 kocha alikuwa nani?!!
Kawaulize Ndugai na Nkamia wanaosema tatizo ni kocha, tulipofuzu kocha alikuwa Polepole?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tulipowafunga Uganda 3 - 0 kocha alikuwa nani?!!
Mkuu taratibu........ Msigwa ni mchungaji ujue!Hao ndio walienda kuitia gundu team yetu. Wao ndio hawafai, wameenda kuambukiza team yetu udhaifu wao.
Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.
Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Misri na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.
Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.
Source Clouds tv!
Maendeleo hayana vyama!
Wanashauri kocha Amunike atimuliwe!Hivi haya mapumbavu yenye vitambi yanaongea nini aisee?
Hivi Ndugai ana uhakika bajeti ijayo ata kuwa hai??
Mchungaji Msigwa, Heche na yule viti maalumu wa Kingu walikuwa Cairo usisahau hilo!
Kwani tulipowafunga Uganda 3 - 0 kocha alikuwa nani?!!
Wamesema soka haina uccm wala uchadema!hao uliowataja wametoa maoni gani?
Mchungaji Msigwa alimteka nani?!Afadhali wamerudi, huenda timu yetu sasa ikajitahidi kufanya vizuri.
Hawa wanaoteka, kushambulia na kuua watu, popote waendapo hawawezi kupeleka baraka.
Na mechi yenyewe moja tu!Hii ndiyo shida yetu wabongo, tukishindwa tunaanza visingizio vingi na kukosoa kwingi. Tujenge utamaduni wa kusema kabla ya kufungwa.
Rais was TFF ni kichwa cha panzi. Tusishangae wanamtimua kweli na kumlipa hela ndefu.Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.
Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Misri na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.
Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.
Source Clouds tv!
Maendeleo hayana vyama!
Tukishinda Sifa kwa wenye nchi
Tukifungwa lawama kwa kocha
Hahahaa....... Anaendesha TFF kama jumuiya ya chama!Rais was TFF ni kichwa cha panzi. Tusishangae wanamtimua kweli na kumlipa hela ndefu.
Ndugai amewahi kuchezea Simba B usisahau hilo!Wameona jinsi kwenye mitandao watu walivyofurahia hiyo timu kufungwa, imebidi na wao watoe maoni yao kuonyesha kocha ndio anashida. Ukweli ni kuwa Ndugai na kundi lake la wabunge hawana lolote wajualo kuhusu soka, na maoni waliyotoa hayana uhalisia wowote wa kisoka zaidi ya kutekwa na negative atitude iliyopo mitandaoni. Huyo Ndugai na wenzake warudi bungeni wakaendelee kuwa rubber stamp kwani hawana lolote wajualo kuhusu soka.
Ndugai amewahi kuchezea Simba B usisahau hilo!
Amecheza bhana!Alikuwa anacheza au alikuwa ballboy?