Spika na wabunge warejea kutoka Misri wataka kocha wa Taifa stars mh Amunike ni dalali atimuliwe mara moja

Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.

Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Misri na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.

Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.

Source Clouds tv!

Maendeleo hayana vyama!

Hivi haya mapumbavu yenye vitambi yanaongea nini aisee?
 
Afadhali wamerudi, huenda timu yetu sasa ikajitahidi kufanya vizuri.

Hawa wanaoteka, kushambulia na kuua watu, popote waendapo hawawezi kupeleka baraka.
 
Mchungaji Msigwa alimteka nani?!
 
Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.

Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Misri na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.

Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.

Source Clouds tv!

Maendeleo hayana vyama!
Rais was TFF ni kichwa cha panzi. Tusishangae wanamtimua kweli na kumlipa hela ndefu.
 
Tukishinda Sifa kwa wenye nchi

Tukifungwa lawama kwa kocha

Wameona jinsi kwenye mitandao watu walivyofurahia hiyo timu kufungwa, imebidi na wao watoe maoni yao kuonyesha kocha ndio anashida. Ukweli ni kuwa Ndugai na kundi lake la wabunge hawana lolote wajualo kuhusu soka, na maoni waliyotoa hayana uhalisia wowote wa kisoka zaidi ya kutekwa na negative atitude iliyopo mitandaoni. Huyo Ndugai na wenzake warudi bungeni wakaendelee kuwa rubber stamp kwani hawana lolote wajualo kuhusu soka.
 
Ndugai amewahi kuchezea Simba B usisahau hilo!
 
Back
Top Bottom