Spika Ndugai aburuzwe Mahakamani kwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
Tume iliyoweza kukata majina ya wagombea kisa tu wameandika jina la chama kifupi imeweza vipi kupokea documents za kughushi? kama sio tume yenyewe imeshirik huu uninja? na kwanini speaker apingane na mamlaka kamili ya chama ambayo yapo kisheria?
 
SPIKA aliwaapisha Wabunge ambao wametambulishwa kwa kwa nyaraka toka TUME ya Uchaguzi. SPIKA ataacha kuwatambua kama WABUNGE kwa kupokea barua toka TUME YA UCHAGUZI, rejea wale WAMBUNGE 8 wa CUF ya LIPUMBA
 
Hilo la kughushi liondoe. Kwa utaratibu wachunguzi wa jinai ya kughushi ni polisi. Je una imani na polisi kuchunguza na kusema barua ilighushiwa saini? Siamini.
 
Kusumbuana kote nini, acha Rais afanya kazi yake na watu wake.. wao wameona ni vyema kuwa juu ya katiba basi.. kuingia road tume fail.. tusubiri muujiza t
 
Spika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
Mbona manapenda kujitoa ufaham
 
Mbona manapenda kujitoa ufaham
Kubalini tu ukweli; mamlaka ya kuthibitisha uteuzi ni ya TUME YA UCHAGUZI, SPIKA anataarifiwa kwa nyaraka na anamwapisha mhusika.

Kama kuna FIGUSI kwenye mchakato wa UTEUZI basi mamlaka ya kuwajibishwa ni TUME.
 
Katiba inasemaje kuhusu , wabunge waliovuliwa uwanachama ? Tuanzie hapa
 
Nani anatakuwa kumtaarifu SPIKA kuwa Wabunge wamekosa sifa ya kuendelea kuwa Wabunge? SPIKA aliwaapisha kwa kupokea nyaraka toka TUME YA UCHAGUZI. Hembu tufanyeni rejea ya wale Wabunge 8 wa CUF, SPIKA alitangaza nini Bungeni?
 
Unaendelea kujitoa ufaham, huoni kwamba spika anaanza kukataa hata kabla ya kupewa taarifa yeyote , fanya mambo yako, tunajua ccm mnatetea ili mpate pesa za mabeberu wenu, hakuna jipya
 
Nani aliye wateua wewe nyumbu unayeishi kwa mama wa kambo? ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Spika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
 
Acha propaganda wewe.
Ndugai au Spika siyo Roboti kuwa kila anacholetewa anatekeleza bila ya kuchunguza na kutathimini kama Sheria na Taratibu zimezingatiwa.
Nitakuelewa kama utasema katika kesi hii waunganishwa Mwenyekiti Kaijage na Mkurugenzi Mahera wa Tume ya Uchaguzi(NEC).
Spika akiwa mbele ya Pilato ataeleza huo upuuzi wake.
Upo sahihi
 
SPIKA aliwaapisha Wabunge ambao wametambulishwa kwa kwa nyaraka toka TUME ya Uchaguzi. SPIKA ataacha kuwatambua kama WABUNGE kwa kupokea barua toka TUME
Sawa mkuu ila hali haikoshwari ni kama tuko kwenye hali ya dharura jinsi sheria na kanuni zinavyorukwa
 
Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake...
Mahakama ipi?

Hizi mahakama ambazo utawala ndio wana waandikia hukumu?
 
Back
Top Bottom