Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Si walishajiwekea kinga ya kutoshitakiwa au !?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume iliyoweza kukata majina ya wagombea kisa tu wameandika jina la chama kifupi imeweza vipi kupokea documents za kughushi? kama sio tume yenyewe imeshirik huu uninja? na kwanini speaker apingane na mamlaka kamili ya chama ambayo yapo kisheria?Spika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
SPIKA aliwaapisha Wabunge ambao wametambulishwa kwa kwa nyaraka toka TUME ya Uchaguzi. SPIKA ataacha kuwatambua kama WABUNGE kwa kupokea barua toka TUME YA UCHAGUZI, rejea wale WAMBUNGE 8 wa CUF ya LIPUMBATume iliyoweza kukata majina ya wagombea kisa tu wameandika jina la chama kifupi imeweza vipi kupokea documents za kughushi? kama sio tume yenyewe imeshirik huu uninja? na kwanini speaker apingane na mamlaka kamili ya chama ambayo yapo kisheria?
Kuna ushahidi wa hili ?Pole sana. Assume ungekuwa H then unaombwa tigo ili upate ubunge
Mbona manapenda kujitoa ufahamSpika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
Kubalini tu ukweli; mamlaka ya kuthibitisha uteuzi ni ya TUME YA UCHAGUZI, SPIKA anataarifiwa kwa nyaraka na anamwapisha mhusika.Mbona manapenda kujitoa ufaham
Katiba inasemaje kuhusu , wabunge waliovuliwa uwanachama ? Tuanzie hapaKubalini tu ukweli; mamlaka ya kuthibitisha uteuzi ni ya TUME YA UCHAGUZI, SPIKA anataarifiwa kwa nyaraka na anamwapisha mhusika.
Kama kuna FIGUSI kwenye mchakato wa UTEUZI basi mamlaka ya kuwajibishwa ni TUME.
Nani anatakuwa kumtaarifu SPIKA kuwa Wabunge wamekosa sifa ya kuendelea kuwa Wabunge? SPIKA aliwaapisha kwa kupokea nyaraka toka TUME YA UCHAGUZI. Hembu tufanyeni rejea ya wale Wabunge 8 wa CUF, SPIKA alitangaza nini Bungeni?Katiba inasemaje kuhusu , wabunge waliovuliwa uwanachama ? Tuanzie hapa
Unaendelea kujitoa ufaham, huoni kwamba spika anaanza kukataa hata kabla ya kupewa taarifa yeyote , fanya mambo yako, tunajua ccm mnatetea ili mpate pesa za mabeberu wenu, hakuna jipyaNani anatakuwa kumtaarifu SPIKA kuwa Wabunge wamekosa sifa ya kuendelea kuwa Wabunge? SPIKA aliwaapisha kwa kupokea nyaraka toka TUME YA UCHAGUZI. Hembu tufanyeni rejea ya wale Wabunge 8 wa CUF, SPIKA alitangaza nini Bungeni?
Spika anashtakuwaje kama ameletewa majina na tume ya uchaguzi? Kama ni mashtaka wa kushtakiwa ni Tume ya Uchaguzi. Pili, wakati wanateuliwa walikuwa ni wanachama wa CHADEMA hivyo hapo hakuna hoja. Hoja (mashtaka) yako matatu hayana mashiko.
Upo sahihiAcha propaganda wewe.
Ndugai au Spika siyo Roboti kuwa kila anacholetewa anatekeleza bila ya kuchunguza na kutathimini kama Sheria na Taratibu zimezingatiwa.
Nitakuelewa kama utasema katika kesi hii waunganishwa Mwenyekiti Kaijage na Mkurugenzi Mahera wa Tume ya Uchaguzi(NEC).
Spika akiwa mbele ya Pilato ataeleza huo upuuzi wake.
Sawa mkuu ila hali haikoshwari ni kama tuko kwenye hali ya dharura jinsi sheria na kanuni zinavyorukwaSPIKA aliwaapisha Wabunge ambao wametambulishwa kwa kwa nyaraka toka TUME ya Uchaguzi. SPIKA ataacha kuwatambua kama WABUNGE kwa kupokea barua toka TUME
Mahakama ipi?Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake...