Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Ulivyo kiazi unaweza weka ushahidi wa hicho unachoandika kwamba watu wote wanatoka Dom kwenda kufanya mkutano Dar au unaropoka tuu?.

Wewe na mbumbumbu wenzio kama jobo ndio tuwaulize,kuna pesa ya serikali ambayo inatoka bila utaratibu?
 
Siku zote huwa ana control nani? Tangu lini shughuli za serikali zilikoma kufanyika Dar? Ikulu iko wapi? Mabalozi na mahakamani zote ziko wapi?

Maofisi ya Wizara na taasisi zake zimeshahamia Dom? Airport iko Dom?

Acheni upumbavu,Mji wa serikali bado Sana kuwezesha shughuli zote za Serikali kwa sasa.
 
Hao wapumbavu dizaini ya jobo ni kuwajibu hivi Ili waelewe.
 
!
 

Attachments

  • 20210907_203302.jpg
    43.1 KB · Views: 4
Jobo ni mpumbavu Sana unashindwa kuelewa ,je kuna shughuli ya serikali imekwama au inaenda ndivyo sivyo? Anachojua ni kuropoka na kutumia pesa tuu kutafuta pesa hajui
 
Anashangaa nini ? Kwani hafahamu kuwa mwenye mpango wa DODOMA ameshadidimia ardhini walihamia kwa mabavu yake wanapenda mahali ulaji unapopatikana hamuoni ndege za serikali zinavyopiga routs za Dar Dom na actress kila kukicha
 
TanzaGiza.
Mbunge ana makazi Masaki/Obay lakini utasikia mbunge wa Handeni, Musoma, Ifakara!!
Hata Huyu mwenyewe Ndungai kichwa ana makazi Dar asitukejeri.
Katiba, Katiba iyaweke wazi majukumu ya viongozi na pale akikiuka aachie ngazi kama ilivyo kwengine duniani.



Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Amekalia kuhoji upumbavu eti posho,kwa akili yake ya kijinga Mawaziri kila siku wanazunguka mikoani inamaana hapo hakuna posho na mafuta au anadhani wanaenda kujifurahisha?..

Hadi sasa hakuna hata nusu ya taasisi za serikali Dodoma hapo sasa sijui anatakaje? Ndio maana PM alikuwa anamcheka kwa kumkejeli.

Serikali ndio kwanza inajitahidi kuweka miundombinu na Jana kaambiwa serikali imetoa zaidi ya bil.300 kuendelea na ujenzi wa mji wa serikali na pesa zingine zitaendelea kutolewa..

Miaka 5 itapita bado facilities za serikali hazijasimama hapo Dom,Mji ukijengwa kwa pupa sehemu zingine za nchi zitasimama .
 
kamjibu ndugai kiazi wewe....
 
Kama sijakuelewa una maana hawana kazi sababu wako Dodoma au hawana kazi toka mwanzo. Sababu haingii akilini wamejiariwa ila wakiwa Dar wanakazi ila Dodoma hawana kazi hapo kidogo utata. Kama umewakuta wamekaa tu basi ujuwe mambo mazuri kazi wamemaliza hakuna tatizo mambo shwari watu wanafanya kazi na kufunga ma file haraka.
 
Wanakimbia ofisi Dodoma n kuwaacha wananchi hawana wa kuwahudumia
 
JPM alikuwa kiboko kuna watu wa Dar hii mpaka leo inawauma hawataki kukubali kuwa sasa hivi sign za waziri au katibu zinafuatwa Dodoma na mbaya JPM kabla hajafariki akasema Jiji ni Ilala tu huko kwengine hakuna jiji hilo likawauma zaidi alichosaidia Dar kupinga Bandari Bagamoyo lakini siku bandari ikianza kujengwa Bagamoyo ndio utaona immigration kama wale nyumbu wanaohama Masai mara na serengeti kila mwaka.
 
Wanakimbia ofisi Dodoma n kuwaacha wananchi hawana wa kuwahudumia
Ok hilo ni tatizo hata hapa Dar kuna wakati mtu anakuja kutoka mikoani mpaka anamaliza pesa ya guest bado anazungushwa tu ila hilo ni jukumu la wizara kuwajibika jambo ambalo kwa wa Tanzania ni changamoto sana ya muda mrefu na sijui dawa nini labda tuwe na electronic cards una swap ukifika kazini na ukitoka una swap hapo kunaweza kuwa na nidhamu.
 
Bado Ndugai ana maswali mengi ya kujibu. Bunge ndio hupitisha budget, kila mwaka watu wanahoji inakuwaje recurrence expenditures zinazidi kwa mbali development expenditures? Palipo kuwepo wapinzani majibu waliopewa yalikuwa yanakatisha tamaa.
 
Nani ana wajibu kuzuia hali hiyo zaidi ya rais mwenyewe? Kukaa kimya ni kukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…