Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ulivyo kiazi unaweza weka ushahidi wa hicho unachoandika kwamba watu wote wanatoka Dom kwenda kufanya mkutano Dar au unaropoka tuu?.wewe unaonekana una chet cha kuzaliwa tu si zaidi ya hapo. kwa hiyo hiyo unavyojua wewe pesa ya serikali inatoka bilacya kitengenezewa mazingira, hivi watu kama wote wapo dodoma alafu wanakuja dar tu kufanyavmkutano ni sawa. kwa wajinga kama nyinyi hata chizi anaweza kuwatawala
Wewe na mbumbumbu wenzio kama jobo ndio tuwaulize,kuna pesa ya serikali ambayo inatoka bila utaratibu?