Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kwanza ni mpuuzi Sana,nikajua labda kuna mambo yamekwama kumbe anaropoka tuu ,utekelezaji unafanyika kama ilivyopangwa sasa huyu mtu sijui huwa ana shida gani.
Ndugai yupo sahihi kwa sasa mawaziri wote ofisi zao zipo Dodoma kwa hiyo waziri akifanyia kazi zake Dar inamaana yupo nje ya ofisi hivyo anastahili kulipwa stahiki zote kama sheria ya kazi inavyosema

Transport allowance
Mills allowance
Accommodation allowance
Over time allowance

Hizi zote ni pesa za walipa kodi zinatafunwa bila ya sababu za msingi
 
Kwaio kazi za izo wizara zilikua Ni kuhudumia Dar ?sio Tanzania
 
Kweli kabisa
 

jibu lipo wazi kuwa anaye control ni mama samia kwa sababu tulikuwa tumezoea kila siku kusikia magufuli kagawa mipesa kadhaa kwa taasisii mbalii mbali na siku hizi aliyevaa viatu vyake naye tunasikia vilevile lakini tujiulize ndugai alimaanisha hivyo au aliwalenga wabunge, mkaguzi mkuu wa serikali, makatibu wakuu ? au alilenga hazina? yote tisa ningemwona shujaa kama angeulizia ile ripoti ya uchunguzi wa hazina / b. 0, t january to march
 
Ndugai alichofanya hapo ni kurusha jiwe gizani tu, siyo kwamba hajui.....anasubiri yoyote atakayepatwa na jiwe aibuke huko.
 
Alikuwa hajui mradi wa makao makuu Dodoma ni tembo mweupe anaye angamiza kodi za Watanzania? Angeishangaa sheria ya Makao makuu Dodoma ilivyopitishwa bungeni ili iende kuwa kaburi la kodi kabla ya kushangaa ile ya tozo ilivyopita.
[emoji106][emoji106]
 
Tanzania ilikuwa inamuhitaji sana bado JPM ila kwa sababu mipango ya Mubgu haichunguziki tunamshukuru atatuvusha
 
Tanzania ilikuwa inamuhitaji sana bado JPM ila kwa sababu mipango ya Mubgu haichunguziki tunamshukuru atatuvusha
Tanzania inahitaji very strong institutions, institutions are there to stay watu wanakuja na kupita, sijui ni kwa nini hii kitu ni ngumu kueleweka...
 
Hah hah Ndugai ni mnafiki isingekuwa Dododma wala asingehangaika kuhoji, anahoji kwa kuwa ni kwao, unadhani ingekuwa ni Singida angehangaika kutoa hayo mapovu.
 
Dom mji kama Umepingwa BOOM mji gani ule nasijui nani aliwadanganya kupeleka Mji huko hali ya hewa mbaya .
 
Anaamua kumshambulia Mama kwa kutumia trick mpya.
Hajakubali kabisa kwamba kiongozi wa nchi siyo yule aliyekuwa na mlengo sawa na wake, Ndugai badilika tu uendane na kiongozi wa sasa.
Hili swali lako ni nia ovu huna maana yoyote ya msingi, kubali matokeo ndugai, wakati wa kiongozi aliyepita hukuwahi kuhoji zile safari na Ikulu kutapakaa kila mahali, watu waliapishwa popote alipojiskia Bwana mkubwa, hukujua Makao Makuu ya nchi ni Dodoma?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] atulize mshono kwanza mastrategist wamalize gemu.
 
Mwisho wa yote ni kuwa tunawajibika na tunayoyafanya. Hakuna sababu ya kupambana na wasiojitambua. Muda ni mwalimu mzuri. Kuna mwingine anajifunza. na atakuja mapema kuliko unavyofikiria
 
Hii point kaongea, ukimtoza kodi, tozo n.k ukatumia vibaya ulichokusanya unamuumiza mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…