Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Mzee wa ndiyoo kacharuka utafikri wakipelekewa mezani watapinga wakati wote watasema ndiyooo.
 
I have been observing!!

Sisi watanzania ukitufuatilia sana utagundua, 'we're good in discussing and not doing'.

Aliyetangualia mbele za haki aliwekeza kwenye kutenda na si kuongea

Ndio maana hata wachambuzi wa mpira wa nchi hii ni mahiri sana lakini sio kwenye utendaji

We're lagging behind tukiendelea na katabia haka kanakozungumziwa kwa uchache kwenye clip hiyo
Umeongea sahihi kabisa
 
Kwanza ni aibu iliyoje Spika wa Bunge hafahamu anaye control Government expenditures, wakati kazi kubwa ya Bunge ni kuisimamia Serikali. Hii comment peke yake ni hatarishi!!
Mgogo ni mgogo tu.
 
Dodoma ni maskini sana huu ndo ukweli hakuna viwanda hakuna utalii hakuna lolote mji umajaa watu omba2 tu Ndugai
ha ha ha ha .hatuna namna ya kuukwepa huu mji jamani,hatuna namna ndo limeshakuwa jj na capital city tena.
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
HII NI AWAMU YA SITA IHESHIMIWE
 
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria. Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
In short
Who is in charge?
 
Back
Top Bottom