Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Sasa hivi ni Uhuru wa Kenge kuingia kila Bwawa. Kwa kawaida Kiongozi mkuu wa Nchi ndiye anayetakiwa kuwa mchungu na matumizi ya ovyo ya fedha za serikali na kusimamia ipasavyo.
 
Kinaumana
 
Government expenditures ni kubwa mno.

Ndio maana hatuoni faida ya tozo.

Tunakatwa makodi na matozo ili kulipia starehe za watu wengine.
 
Back
Top Bottom