Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Mzee wa ndiyoo kacharuka utafikri wakipelekewa mezani watapinga wakati wote watasema ndiyooo.
 
Umeongea sahihi kabisa
 
Kwanza ni aibu iliyoje Spika wa Bunge hafahamu anaye control Government expenditures, wakati kazi kubwa ya Bunge ni kuisimamia Serikali. Hii comment peke yake ni hatarishi!!
Mgogo ni mgogo tu.
 
Dodoma ni maskini sana huu ndo ukweli hakuna viwanda hakuna utalii hakuna lolote mji umajaa watu omba2 tu Ndugai
ha ha ha ha .hatuna namna ya kuukwepa huu mji jamani,hatuna namna ndo limeshakuwa jj na capital city tena.
 
HII NI AWAMU YA SITA IHESHIMIWE
 
In short
Who is in charge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…