Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Si Tozo ndio linaratibu hizo safari, Mpaka waziri mkuu juzi kawaambia waliobaki Dar wahamie Dodoma
 
Alafu wakamng'oa eti
Wanakumbuka shuka wakati kumekucha. Ila Ndugai ana maono ya mbali aisee. Mambo mengi aliyoyasema wakamuona hafai ndio yanatokea na wanarudi mule mule. Kweli Ndugai ni jiwe walilolikataa waashi.
 
Wanakumbuka shuka wakati kumekucha. Ila Ndugai ana maono ya mbali aisee. Mambo mengi aliyoyasema wakamuona hafai ndio yanatokea na wanarudi mule mule. Kweli Ndugai ni jiwe walilolikataa waashi.
Ukiacha ufupi wake ,mengine kanaona mbali
 
Wanakumbuka shuka wakati kumekucha. Ila Ndugai ana maono ya mbali aisee. Mambo mengi aliyoyasema wakamuona hafai ndio yanatokea na wanarudi mule mule. Kweli Ndugai ni jiwe walilolikataa waashi.
Shida ni kutenda kwake mambo ya kishetani (uovu) huko nyuma.
Wanadamu tumefundishwa "mkatae shetani na mambo yake yote" hivyo hata ukikutana naye akakuambia ukweli kuwa njia unayoifuata kuna Simba utajikuta unamkatalia tuu kumbe ni kweli.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ndugai akihamia chadema wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kushangilia, kumsafisha na kumwombea kura
 
Hakuna kiongozi aliye mwema mbele ya macho ya waja. Hata Yesu na Muhamad walichukiwa na baadhi ya wanadamu.
 
Lema na Lissu waliacha madeni makubwa pale Bungeni.

Na Mali za Lema Kila mara zinatishiwa kuuzwa kwa madeni.

Mbowe ndio usiseme, anakopa kuanzia kwenye karata mpaka mabenki.

Mnyika Ile midaladala yake inayozurura hapo Dsm ni mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…