Kivip Mradi wa makao makuu Dodoma ni white [emoji208]?Alikuwa hajui mradi wa makao makuu Dodoma ni tembo mweupe anaye angamiza kodi za Watanzania? Angeishangaa sheria ya Makao makuu Dodoma ilivyopitishwa bungeni ili iende kuwa kaburi la kodi kabla ya kushangaa ile ya tozo ilivyopita.
Waziri wa fedha wa sasa ni kaputi sana. Haijawahi tokea.Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Huo ndiyo mwelekeo wa uchumi wa sasa ?Uchumi wa soko sio centrallised kama wa Magu lazima serikali ifanye Kazi na sekta binafsi ikiwemo hizo makongamano kwenye kumbi binafsi kutanua mzunguko wa helaa.
Ndio maana hata ujenzi wa mji mkuu kwa sasa kuna kampuni binafsi na sio za serikali tuu.
🤣🤣
Hii nchi inaendeshwa na genge la mwendazake ona sasa samia tulikuonya mapema tuSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
BahariKwa huko Dodoma kitu gani kinakosekana?
Bwashee acha uchochezi hahaha .....mmeshaingia kingi Nyerere alibariki mfumo wa vyama vingi...Hamkujuwa?Nauona mnara wa babeli
Sisiemu hoyeee...Rais anawarembulia macho unategemea nini?? Acha wapige tu...
Exquisite 😍Uchumi wa soko sio centrallised kama wa Magu lazima serikali ifanye Kazi na sekta binafsi ikiwemo hizo makongamano kwenye kumbi binafsi kutanua mzunguko wa helaa.
Ndio maana hata ujenzi wa mji mkuu kwa sasa kuna kampuni binafsi na sio za serikali tuu.
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Hivi kwa nini anaitwa Jumong?Na Jumong anaongoza! Mara ya mwisho JPM alifanya ziara Mkoa wa Dar es Salaam it means tayar alikuwa kashamaliza total kuamia Dodoma. Sasa Jumong wiki 2 Dar, siku 3 Dodoma yani amekuwa kama nini sijui.
Huu ni uthibitisho mwingine wa wazi kuwa, Rais Samia Suluhu Hassani "is held hostage...!!"Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.