Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kaa chini utafakari ulichoandika
 
We ni mnufaika? Kwa sababu tunajua waalikwa kwenye hayo makongamano lazima walipwe na mawaziri wakiwa Dodoma watalipwa perdiem wakati wapo kwenye vituo vyao vya kazi?
 
We ni mnufaika? Kwa sababu tunajua waalikwa kwenye hayo makongamano lazima walipwe na mawaziri wakiwa Dodoma watalipwa perdiem wakati wapo kwenye vituo vyao vya kazi?
Sasa kwani kuna kongamano ambalo huwa liko bure,ni hivi posho kila siku tunasila iwe kongamano au kazi za kawaida kama jobo anavyopata posho kwa hiyo shida iko wapi.

Serikali haiwezi kwenda bila posho ndio maana hata yule mwehu alikuwa anagawa pesa njiani ziko kwenye bajeti kqbisaa kuanzia kiongozi yoyote wa wananchi ametengewa sasa sijui mnaongea nini hasa nyie.
 
Tamisemi waziri wake anazurura tuu nazani ndio wizara inayoongoza kwa kufuja pesa
 
Watanzania siyo malofa kama wewe
 
Tamisemi waziri wake anazurura tuu nazani ndio wizara inayoongoza kwa kufuja pesa
Ummy mwalimu hiyo wizara haiwezi hajui anasimamia nini mara ajira zitolewe hivi mara vile saizi usishangae rushwa itakuwa kubwa sana kwenye ajira!
 
Mpaka Heche aseme harafu chizi ndugai ajitokeze aache unafiki
 

Sasa kama bunge zima lapiga makofi kuhusu wazo la speaker, hao wahusika ni chadema au wapo huko ndani?
 
We nawe hujielewi,mbona JPM alikuwa hachezewi?unamtetea mtu dhaifu?
 
Tangu lini akawa na huruma na hela za kodi huyu? Aache unafiki
 
Na yeye ndugai yuko kundi hilo hilo wanalipana maposho ya kutisha asituzubaishe kwaza atuambie ukweli wa mabilioni aliyotumia I.ndia kwa matibabu yeye mkewe na wasaidizi wawili ndani ya 5star hotel .kiongozi gani nchi hii anaeangalia hali za wananchi wa chini ukiacha mwalimu nyerere kila cku kodi kodi kodi wao wenyewe wanalipana maposho makubwa bila kodi. Ni jambo la kuchekesha wanalipana mshahara milioni 4 ndio hutozwa kodi posho milioni 12 bila kodi na misamaha kibao.
 
Hivi mawaziri na speaker wenye nyumba Dodoma wanalipwa posho ya vikao (sitting allowance) na posho ya kujikumu kwa kuwa nje ya kituo(per diem) wanazolipwa wakati wa vikao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…