Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Hata sie lazima tutajuana,maana hizo gharama za kusafiri na masurufu,tunazibeba sie wananchi wa kawaida

Sawa lakini hakuna cha kufanya.

Wananchi wa kawaida hawana sauti bungeni wala juu ya serikali. Bunge nalo ni Mali ya serikali. Linalipwa vipato kuliko watanzania wengine.
 
Huyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.

Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?

Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?

Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.

Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
Unatetea upuuzi, it's very possible wewe ni mnufaika wa hili, kazi ambayo mngeifanya Dodoma mnaipeleka Dar ili muweze kujilipa posha ya elfu 80 kwa siku.
 
Watu wenye kazi za field ambao ndo wanatakiwa wafanye project za kutatua changamoto za wananchi hawana posho, ila posho za wasafiri wa Dar-Dom, Dom-Dar zipo za kutosha.........
Watumishi hapa Tanzania ni
Hujui kwamba miongoni mwa kazi bunge ni pamoja na kuhoji matumizi ya serekali au ww ni kiazi
Kiazi kwa mtazamo wako kinaweza kuwa kama nilivyo?Umejitahidi kumtetea Huyo boya mwenzio kwa kumharibia.Wakati wanahamia Dodoma kimagumashi walilazimishwa na nani?Bajeti kuhamia waliipitisha wao na leo wameikimbia hiyo Dodoma,speaker hafahamu nini?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Saa zingine huyu kingunge wa jumba la kutunga sheria huwa anazinduka kunena kwa hekima na ukweli kuhusiana na kuyumbayumba kwa serikali kwa kuhamishia makao makuu ya nchi kienyeji huko Dar badala ya makao makuu ya nchi huko jijini Dodoma ambapo ni kwa mjibu wa sheria sio hisani au utashi binafsi wa kiongozi wa nchi.

1. Udhaifu usimamizi wa viongozi wa serikali
2.Udhaifu katika kudhibiti matumizi ya serikali
3.Udhaifu katika kusimamia sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji wa nchi
4. Kutozingatia maoni ya wananchi oambao ndio waajiri halali wawatumishi wa serikali na umma

Dodoma ni makao makuu ya nchi kwahiyo ni sharti viongozi wa serikali wafanyia shughuli zao zote za siku kwa siku huko Dodoma

Dar, Mbeya, Arusha, Tanga, Mwanza zibaki kama majiji ya kimkakati katika kanda husika kwa kusaidia kuchochea maendeleo ya mikoa mingine iliyo karibu nayo

Nchi inatakiwa kuendeleza mikoa ya pembezoni kwa sasa kama ifuatavyo
1. Kigoma
2. Songwe
3. Ruvuma
4. Mtwara
5. Lindi
6.Tanga
7.Kilimanjaro
8. Mara
9. Kagera
10. Katavi

Hiyo miji tajwa ikifikia kiwango angalau kama Mbeya, Dodoma au Mwanza kila mwananchi Tanzania atafurahia uchumi jumuishi
 
Jambo gani la muhimu kahoji hapo kama sio ujinga na kuleta taharuki as if mambo ya serikali yamesimama hayaendi na watu wanafuja pesa.

Anaweza kukuambia miradi gani imesimama na haitekelezwi? Anaweza kukupa list ya makongamano?

Tufanye kuna makongamano yes,ehee wajumbe wakitoka mikoani nje ya Dodoma watakuja bure bila pesa?

Huoni anauliza jambo bila kutumia akili,kwamba hawaamini Rais na PM au?
we jamaa hovyo sana. kwani issue mambo ya serikali kwenda au watu kulipana posho zisizo za msingi. hawa tuchukulie pesa zote za miradi zimepelekwa, kwa hiyo unataka kusema kitakachobakia wagane
 
Ukitoka mikoani kuja Dom hulipwi posho? Acha upumbavu wako.
Ukitoka mikoani kwenda Dom kuhudhuria vikao vyenye ulazima utalipwa posho kama kaiwada lakini hapo ni sahihi kwa sababu umeenda mahali panapotambulika kama makao makuu ya nchi kwa mjibu wa sheria sio kuhamisha magoli kienyeji
 
we jamaa hovyo sana. kwani issue mambo ya serikali kwenda au watu kulipana posho zisizo za msingi. hawa tuchukulie pesa zote za miradi zimepelekwa, kwa hiyo unataka kusema kitakachobakia wagane
Hana akili huyo
 
Yeye amepata lini ufahamu huo wa kujua leo kuna wananchi masikini?.

Huyo siku akistafu akihojiwa na chombo cha habari nyumbani akiulizwa unakumbuka nini cha maana ktk uspiker wako,atasema mimi ndie nilieipigania dodoma iwe makao makuu ya nchi.

Hapo hana lolote la maana zaidi ya kuwa na hofu na dodoma kugeukwa na kukimbiwa tena
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Ndugai anaanza kuamka kutoka kwenye udingizi wa pono. Namwombea kwa Mungu aamke kikamilifu na kulisimamia budget ya serikali kama katiba inavyomtaka.
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327

Asanteh mheshimiwa spika wa bunge letu kwa kuwakumbusha watendaji ndani ya serikali kuhusu kupunguza matumizi ya serikali
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Ndugai bwana! Sema mama kila akienda Dsm analipana posho na wasaidizi wake usijufanye umesoma Cuba. Anayeshinda Dar ,ni nani kama siyo bibi yetu?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
wakati ule ikulu ilipohamia Chato mbona hakuhoji kama sio unafiki nini.Suala la serikali nzima kuhamia Dodoma kimsingi lilifanywa kisiasa bila kuangalia economic impact na wakati.Kuna wizara nyingi sana hazina cha kufanya Dodoma kwa kuwa shughuli zake nyingi zipo Dar es Salaam.Hakukua na haji ya kuipeleka baadhi ya wizara Dodoma.Nimekuwepo mtumba pale jumatatu ya wiki hii watu wapo wanapigwa na jua hakuna kazi na hakua watu wa kuwahudumia.Kimisingi watumishi wengi watumishi wanalipwa mishahara huku wakiwa hawana kazi za kufanaya.Speaker hahoji kwa nini watu wanalipwa ilihali kazi za kufanya hakuna.Kuna taasisi wadau wako Dar es Salaam kwa nini ofisi iwepo Dodoma?Suala la kuhamia Dodom halikuangalia nyakati na maendeleo ya Technolojia.
 
Yeye kama Spika angeweka wazi kila kitu sio anaongea kama kaandikiwa memo au yuko space

Ana mhimili wake mkubwa tu na anashindwa kuyasema wazi
Anajua nani anaidhinisha halafu anauliza kama mimi
Nilishangaa kuona spika hajui ni nani mthibiti
 
wakati ule ikulu ilipohamia Chato mbona hakuhoji kama sio unafiki nini.Suala la serikali nzima kuhamia Dodoma kimsingi lilifanywa kisiasa bila kuangalia economic impact na wakati.Kuna wizara nyingi sana hazina cha kufanya Dodoma kwa kuwa shughuli zake nyingi zipo Dar es Salaam.Hakukua na haji ya kuipeleka baadhi ya wizara Dodoma.Nimekuwepo mtumba pale jumatatu ya wiki hii watu wapo wanapigwa na jua hakuna kazi na hakua watu wa kuwahudumia.Kimisingi watumishi wengi watumishi wanalipwa mishahara huku wakiwa hawana kazi za kufanaya.Speaker hahoji kwa nini watu wanalipwa ilihali kazi za kufanya hakuna.Kuna taasisi wadau wako Dar es Salaam kwa nini ofisi iwepo Dodoma?Suala la kuhamia Dodom halikuangalia nyakati na maendeleo ya Technolojia.
Acha siasa mufilisi toka muifungue Tanzania kwa kufungua akaunti za wanyonyaji Mtanzania wa kawaida anapata nini kama sio maumivu yameongezeka zaidi ya hapo nyuma? Pesa mtaani hakuna, mzunguko wa pesa umekatika kwa ghafla, wananchi wanalia huku ninyi wenye vipesa na biashara haramu mkineemeka na kuhamishia kila mnachopata kwenda ughaibuni kuficha.

Shighuli zote za serikali kuanzia wa chini hadi juu zirejee Dodoma kuhudumia wananchi wote sio Dar Es Salaam ambapo kila mtu ana akili zake za utafutaji.
 
Huyo hajui, speaker kafanya kazi yake haswa! Hivi huyo ashawahi kumfatilia spika wa uganda anaitwa Kadaga? Ndugai kafanya kazi yake!
Tena kabisa Kama sheria ni msumeno basi inatakiwa hao wanao control government expenditure waitwe kamati ya maadili wahojiwe Kama ambavyo wanaolikejeli bunge wanavyohojiwa.
 
Hela zetu za kodi na tozo zinachezewa sana. Hii mambo ya posho na safari ni wizi mtupu. Serikali ipo ili kutumikia watu. Ukiona watu wanatengeneza schemes za kulipana posho badala ya kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watu wake ujue kuna shida kubwa sana ndani ya serikali hiyo.
Hela lazima tupige na safari tunalipana tu hakuna namna. Ukitaka na wewe njoo Serikalini otherwise lazima tukukamue ili tuishi maisha bora.

Haya sana tuma hela kijijini kwenu ili tupate hela ya tozo wiki inayo tunaanda Per Diem tuna safari sisi tunahitaji hela.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Watu wenye kazi za field ambao ndo wanatakiwa wafanye project za kutatua changamoto za wananchi hawana posho, ila posho za wasafiri wa Dar-Dom, Dom-Dar zipo za kutosha.........
Acha roho mbaya wewe sasa unataka watu waishi vipi??

Lazima ukamuliwe tu ili wengine tuishi vizuri hakuna namna.

Back
Top Bottom