Ndugai naona anaishi ernzi za karne ya mawe yaani stone age
Sasa hivi unapoajiriwa fomu unazojaza zilishaondoa kipengele cha kuonyesha kabila lako kabila gani na dini yako dini gani
Yeye nafikiri anakumbuka enzi zao ambako ukiajiriwa unajaza dini yako ipi na kabil;a lako lipi
Sasa hivi anaposema kikanda hata haeleweki anaongea mambo ya kizamani sana mfano watoto wake wamezaliwa Dar es salaam hawakuzaliwa ugogoni sasa wateuliwe kutoka kanda ipi ya Dar es salaam au Dodoma?
Kizazi kilichopo sasa ukiondoa hao vikongwe akina Ndugai hakijazaliwa vijijini porini walikozaliwa wao.Vimezaliwa mikoa mingine kabisa ,Mtoto wa kichaga unakuta kazaliwa MWanza au kigoma au mbeya ambako wazzi wake wana makazi huko!!!
Anayoongelea hayako appilicable kwa sasa!!! yamepitwa na wakati