Spika Ndugai: Ajira ziwe zinazingatia usawa wa Kijografia

Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni,
alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaaani; kimikoa, na hata Kidini.

ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja zaidi ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu.

nakubaliana nae asilimia 100 kuwa Taifa hili la Tanzania ni letu sote hivyo ni kweli na haipendezi na wala haifai, watu wa aina mmoja au kanda mmoja au hata wa aina mmoja ya imani ndio wawe wame hodhi nafasi zote za ajira au hata za kuteuliwa ktk nafasi za utumishi wa umma,.....jambo hilo lisipo angaliwa bila kuoneana aibu litaipasua Taifa letu siku za mbeleni, hivyo ni muhimu sana jambo hilo likazingatiwa ktk ajira na teuzi ili kuweka uwiano ulio sawa kwa mustakibali wa umoja wa taifa letu.

ili kujenga na kuimarisha umoja na uzalendo ni muhimu ktk kuteua watumishi wa serikali uweke mseto wenye usawa mabao utawakilisha sura ya Taifa letu,

kila mara kumekuwapo na manung'uniko ya watu wa Imani moja kuona wao wameminywa ktk nafasi za seriikalini na wengine wapo wengi zaidi kuliko wao, jambo hili sio zuri lazima litazamwe kwa nia njema.
na jambo hili pia linahitaji utafiti.

napendekeza kabla ya kutekeleza kila idara ya serikali yenyewe ifanye utafiti kwa watumishi wake wote ilio nao je?
inazingatia Jografia ya nchi yetu? Je? Kuna uwiano wa kiimani ktk nafasi mbalimbali?

madhara ya kujaza kundi au aina ya watu fulani ktk utumishi wa umma ni hatari sana kwa umoja na uzalendo wa nchi yetu.

Asante Mhe. Spika kwa kutoa angalizo hilo la msingi na lenye nia njema ya kujenga ummoja wa nchi yetu. ni matumaini yetu mamlaka za uteuzi na ajira zitalizingatia hilo.

UMOJA NI NGUVU, NCHI ITA JENGWA KWA UMOJA WETU NA SIO BAADHI YA WATU.

USHIRIKIANO WA WATU WOTE KTK KULIJENGA TAIFA LAO NI JAMBO MUHIMU SANA KWA UMOJA NA UIMARA WA NCHI, TUSIONEANE AIBU TUAMBIZANE UKWELI KWA MASILAHI YA TAIFA LETU,
Mungu ibariki Tanzania.

ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja zaidi ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu.

Mbona Bungeni wamechaguana watu wa aina moja, imani moja ya CCM na mshikamano haujapata hatari yoyote kwa taifa letu?
 
Ndugai njoo huku ujibu huyu mtu ana hoja
 
Na South Afrika enzi za utawala wa Makaburu (apatheid era) walikuwa na mawazo kama yako! Yaani wanasema watu weusi wasipewe kazi maana hawakusoma! Cha ajabu walikuwa hawatoi uwezekano wa hao weusi kuweza kusoma, kwa mfano serikali kuwajengea mashule, walimu wenye uwezo etc.
Hayo hayo kwa Tanzania yamekuwa hivyo. Ni miaka hii ya Magufuli ambavyo kila mtoto amepewa nafasi kwa usawa japokuwa bado msisitizo unahitajika.
Nyerere alijitahidi kwa kuweka pass marks chini kwa sehemu fulani ili kuencourage uwiano sawa - lakini nayo wajanja Waka iabuse!
Udom ipo jirani na Kongwa, chuo cha mipango, CBE, bado unataka nini mzee? wanaosoma hapo wengi wametoka nje na Dodoma
 
Ila Mwendazake!!!! Aliwafanya watu wasitumie akili zao kabisa maana enzi zile wote walikua wanamuabudu kwa kila jambo... bwana Sabufa asingeongea hivi

Punguza roho la kwanini hilo
 
Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni,
alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaaani; kimikoa, na hata Kidini.

Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja zaidi ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu.

Nakubaliana nae asilimia 100 kuwa Taifa hili la Tanzania ni letu sote hivyo ni kweli na haipendezi na wala haifai, watu wa aina mmoja au kanda mmoja au hata wa aina mmoja ya imani ndio wawe wame hodhi nafasi zote za ajira au hata za kuteuliwa ktk nafasi za utumishi wa umma,.....jambo hilo lisipo angaliwa bila kuoneana aibu litaipasua Taifa letu siku za mbeleni, hivyo ni muhimu sana jambo hilo likazingatiwa ktk ajira na teuzi ili kuweka uwiano ulio sawa kwa mustakibali wa umoja wa taifa letu.

Ili kujenga na kuimarisha umoja na uzalendo ni muhimu ktk kuteua watumishi wa serikali uweke mseto wenye usawa mabao utawakilisha sura ya Taifa letu,

Kila mara kumekuwapo na manung'uniko ya watu wa Imani moja kuona wao wameminywa ktk nafasi za seriikalini na wengine wapo wengi zaidi kuliko wao, jambo hili sio zuri lazima litazamwe kwa nia njema, na jambo hili pia linahitaji utafiti.

Napendekeza kabla ya kutekeleza kila idara ya serikali yenyewe ifanye utafiti kwa watumishi wake wote ilio nao je?

Inazingatia Jografia ya nchi yetu? Je? Kuna uwiano wa kiimani ktk nafasi mbalimbali?

Madhara ya kujaza kundi au aina ya watu fulani ktk utumishi wa umma ni hatari sana kwa umoja na uzalendo wa nchi yetu.

Asante Mhe. Spika kwa kutoa angalizo hilo la msingi na lenye nia njema ya kujenga ummoja wa nchi yetu. ni matumaini yetu mamlaka za uteuzi na ajira zitalizingatia hilo.

UMOJA NI NGUVU, NCHI ITA JENGWA KWA UMOJA WETU NA SIO BAADHI YA WATU.

USHIRIKIANO WA WATU WOTE KTK KULIJENGA TAIFA LAO NI JAMBO MUHIMU SANA KWA UMOJA NA UIMARA WA NCHI, TUSIONEANE AIBU TUAMBIZANE UKWELI KWA MASILAHI YA TAIFA LETU.

Mungu ibariki Tanzania.
Hatuwezi kuajiri au kuteua wagogo kwa sababu ya jiogorafia na dini zao tu ilihali hawana elimu na sifa za kuajirika au kuteuliwa.

Unapata wapi muda wa kusikiliza mtu mwenye utindio wa ubongo kama Ndugai ?
 
Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni,
alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaaani; kimikoa, na hata Kidini.

Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja zaidi ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu.

Nakubaliana nae asilimia 100 kuwa Taifa hili la Tanzania ni letu sote hivyo ni kweli na haipendezi na wala haifai, watu wa aina mmoja au kanda mmoja au hata wa aina mmoja ya imani ndio wawe wame hodhi nafasi zote za ajira au hata za kuteuliwa ktk nafasi za utumishi wa umma,.....jambo hilo lisipo angaliwa bila kuoneana aibu litaipasua Taifa letu siku za mbeleni, hivyo ni muhimu sana jambo hilo likazingatiwa ktk ajira na teuzi ili kuweka uwiano ulio sawa kwa mustakibali wa umoja wa taifa letu.

Ili kujenga na kuimarisha umoja na uzalendo ni muhimu ktk kuteua watumishi wa serikali uweke mseto wenye usawa mabao utawakilisha sura ya Taifa letu,

Kila mara kumekuwapo na manung'uniko ya watu wa Imani moja kuona wao wameminywa ktk nafasi za seriikalini na wengine wapo wengi zaidi kuliko wao, jambo hili sio zuri lazima litazamwe kwa nia njema, na jambo hili pia linahitaji utafiti.

Napendekeza kabla ya kutekeleza kila idara ya serikali yenyewe ifanye utafiti kwa watumishi wake wote ilio nao je?

Inazingatia Jografia ya nchi yetu? Je? Kuna uwiano wa kiimani ktk nafasi mbalimbali?

Madhara ya kujaza kundi au aina ya watu fulani ktk utumishi wa umma ni hatari sana kwa umoja na uzalendo wa nchi yetu.

Asante Mhe. Spika kwa kutoa angalizo hilo la msingi na lenye nia njema ya kujenga ummoja wa nchi yetu. ni matumaini yetu mamlaka za uteuzi na ajira zitalizingatia hilo.

UMOJA NI NGUVU, NCHI ITA JENGWA KWA UMOJA WETU NA SIO BAADHI YA WATU.

USHIRIKIANO WA WATU WOTE KTK KULIJENGA TAIFA LAO NI JAMBO MUHIMU SANA KWA UMOJA NA UIMARA WA NCHI, TUSIONEANE AIBU TUAMBIZANE UKWELI KWA MASILAHI YA TAIFA LETU.

Mungu ibariki Tanzania.
Nchi ya mihemko hiii Mara kipaumbele Kujitolea,leo kipaumbele kijiografia kesho kipaumbele waliomaliza miaka ya nyuma iliyopita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiii nchi
 
Mhe. Ndugai amenena jambo la muhimu sana kwa Taifa letu, jambo ambalo wengi walilifumbia macho kwa makusudi au kwa kujifanya halionekani lkn jambo hilo lina hatarisha umoja wa taifa letu nalo ni mgawanyo wa ajira na nafasi za uteuzi serikalini ulio sawia na wa haki, kimaeneo na hata kiimani, sio sahihi kujaza ktk utumishi wa umma watu wa aina mmoja halafu wengine wengi wakatupwa nje, hilo sio sahihi kabisa kwa ustawi na uzalendo wa taifa letu, lazima jambo hilo.litazamwe kwa kuzingatia sifa, usawa wa maeneo na hata usawa wa imani zote kushiriki ktk ujenzi wa taifa lao utaleta na kuimarisha uzalendo wa kweli.

tuache unafiki tuwe wa kweli kama alivyo sema Mhe. Spika. kuwa nchi hii itajengwa kwa umoja wetu na sio kwa kuwatenga wengine.

tuepuke kujaza aina moja ya watu wa kundi la eneo moja au hata la imani moja, jambo hilo halina ustawi kwa Taifa letu.
 
Wanakubali ndugai wana matatizo...huyu haaminiki, ameshindwa hata kulinda kiapo chake
 
wewe ndio humuamini lkn ndugai ni Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
na anaongoza wabunge zaidi ya 300.

kauli yake ina dhihirisha kuwa yeye si kiongozi mnafiki na wala huwa hatafuni maneneo, na pia huwa hayumbi wala kuyumbishwa.

alicho kisema kinapaswa kifikiriwe na mihimili mingine ya serikali, kwa kujitafakari na kujisahihisha.
lengo ni kujenga na kuimarisha umoja wa Taifa letu zaidi ya miaka 100 ijayo.
sisi sote tutakufa lkn Tanzania itaendelea kuwepo, hivyo hakuna budi kwa viongozi wetu wa sasa kulijenga taifa imara kwa kuwashirikisha watu wote ktk uongozi wa taifa lao.
 
Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini.

Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja zaidi ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu.

Nakubaliana nae asilimia 100 kuwa Taifa hili la Tanzania ni letu sote hivyo ni kweli na haipendezi na wala haifai, watu wa aina mmoja au kanda mmoja au hata wa aina mmoja ya imani ndio wawe wame hodhi nafasi zote za ajira au hata za kuteuliwa ktk nafasi za utumishi wa umma, jambo hilo lisipo angaliwa bila kuoneana aibu litaipasua Taifa letu siku za mbeleni, hivyo ni muhimu sana jambo hilo likazingatiwa ktk ajira na teuzi ili kuweka uwiano ulio sawa kwa mustakibali wa umoja wa taifa letu.

Ili kujenga na kuimarisha umoja na uzalendo ni muhimu ktk kuteua watumishi wa serikali uweke mseto wenye usawa mabao utawakilisha sura ya Taifa letu.

Kila mara kumekuwapo na manung'uniko ya watu wa Imani moja kuona wao wameminywa ktk nafasi za seriikalini na wengine wapo wengi zaidi kuliko wao, jambo hili sio zuri lazima litazamwe kwa nia njema, na jambo hili pia linahitaji utafiti.

Napendekeza kabla ya kutekeleza kila idara ya serikali yenyewe ifanye utafiti kwa watumishi wake wote ilio nao je?

Inazingatia Jografia ya nchi yetu? Je, kuna uwiano wa kiimani ktk nafasi mbalimbali?

Madhara ya kujaza kundi au aina ya watu fulani ktk utumishi wa umma ni hatari sana kwa umoja na uzalendo wa nchi yetu.

Asante Mhe. Spika kwa kutoa angalizo hilo la msingi na lenye nia njema ya kujenga ummoja wa nchi yetu. Ni matumaini yetu mamlaka za uteuzi na ajira zitalizingatia hilo.

UMOJA NI NGUVU, NCHI ITA JENGWA KWA UMOJA WETU NA SIO BAADHI YA WATU.

USHIRIKIANO WA WATU WOTE KTK KULIJENGA TAIFA LAO NI JAMBO MUHIMU SANA KWA UMOJA NA UIMARA WA NCHI, TUSIONEANE AIBU TUAMBIZANE UKWELI KWA MASILAHI YA TAIFA LETU.

Mungu ibariki Tanzania.
Ndugai kasema kweli, na hilo ndiyo tatizo kubwa lililoasisiwa na Magufuli.
Magufuli alijizungushia na “wa kwao” katka kila sekta.

Hebu waorodheshe hawa wa kanda pendwa ya Ziwa, Kalemani, Biteko, Bashungwa,Gwajima, Ndalichako,Mashimba, Chamuriho .
Hawa wote SABA toka kanda pendwa-LEGACY ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom