Una uhakika aliteua wa dini yake tu ama unaropoka tu? Pia unataka watu wateuliwe tu hovyo hovyo hata kama hawana sifa?Ndugai ni mnafiki sana huyu kiumbe. Mbona hakuyasema haya kipindi Magufuli anateua wa kabila lake na dini yake tu
Tuna supika DHAIFU
Kama watu hawajui kuchangamkia fursa wamekomaa na ufugaji watapataje hizo nafasi?Uwiano wao lazima utakuwa na uwakilishi mwingi kwenye ajira za kawaida na uwaziri pia. Wachagga wote Kilimanjaro hawajazi Kishapu, I mean, Halmashauri ya Kishapu inalingana na mkoa wa Kilimanjaro, sasa Wachagga watakuaje wengi TRA kuliko Wasukuma?
Kutokuwa na interview huo ni upuuzi." Ajira za walimu na madaktari hakunaga interview"
Wasukuma wenye elimu ya juu ni wengi kuliko kabila lolote nchini. Chunguza utakubaliana nami.Kama watu hawajui kuchangamkia fursa wamekomaa na ufugaji watapataje hizo nafasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma akili hawana zaidi ya nguvu za kulima na kuchunga Ng'ombe huwezi linganisha na Taifa teule WachagaUwiano wao lazima utakuwa na uwakilishi mwingi kwenye ajira za kawaida na uwaziri pia. Wachagga wote Kilimanjaro hawajazi Kishapu, I mean, Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu inalingana na mkoa wa Kilimanjaro, sasa Wachagga watakuaje wengi TRA kuliko Wasukuma?
Angetekwa na hicho kipara chake cha kipumbavuIla Mwendazake!!!! Aliwafanya watu wasitumie akili zao kabisa maana enzi zile wote walikua wanamuabudu kwa kila jambo... bwana Sabufa asingeongea hivi
hapo sasa tutarudi kule kule ufanisi serikalini sifuriHuyu anatuletea mambo ya mwaka 63. Kama Wagogo hawana akili ulazimishe tu kuwaajiri kisa Jiografia?
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Yaani, kwa muda wa miezi miwili tu, uwiano wa kidini, kimaeneo, kijinsia umeisha na swala hilo hali hitaji kuongezewa tena? Kwa sababu Magufuli aliye ongoza kwa miaka mitano tu! - ndiye aliye Leta ubaguzi huo na sasa kafa huo ubaguzi umeisha?Alikuwa wapi wakati huo upuuzi ukiwa unafanywa na Mwendazake? Sasa hivi hatuna huo ujinga yeye ndo anakurupuka.
Anaongea kama amekatwa kichwa huyu mzeeNdugai naona anaishi ernzi za karne ya mawe yaani stone age
Sasa hivi unapoajiriwa fomu unazojaza zilishaondoa kipengele cha kuonyesha kabila lako kabila gani na dini yako dini gani
Yeye nafikiri anakumbuka enzi zao ambako ukiajiriwa unajaza dini yako ipi na kabil;a lako lipi
Sasa hivi anaposema kikanda hata haeleweki anaongea mambo ya kizamani sana mfano watoto wake wamezaliwa Dar es salaam hawakuzaliwa ugogoni sasa wateuliwe kutoka kanda ipi ya Dar es salaam au Dodoma?
Kizazi kilichopo sasa ukiondoa hao vikongwe akina Ndugai hakijazaliwa vijijini porini walikozaliwa wao.Vimezaliwa mikoa mingine kabisa ,Mtoto wa kichaga unakuta kazaliwa MWanza au kigoma au mbeya ambako wazzi wake wana makazi huko!!!
Anayoongelea hayako appilicable kwa sasa!!! yamepitwa na wakati
Kauli hatari sana kwa taifa, kweli tunaenda sasa kugawana ajira kwa usawa wa dini( dini ziko nyingi na katika dini hizo kuna makundi mia kidogo), mikoa( makabila tofauti), kabila, gender sio qualification tena. Kuna mtu anaweza kuwa msukuma lakini maisha yake yote anaishi Arusha kwa hiyo mgao wake unatoka Mwanza huko na mifano mingi tu. Tunajuwa watu wa Mara wanapenda jeshi na wako vizuri kwa hiyo tugawane huko. Huyu mzee hebu afafanue kauli yake ni hatari sana.Ajira zizingatie sifa, sio uwiano wa kijiografia. Hizi sio nafasi za upendeleo, ni utaalamu.
Na South Afrika enzi za utawala wa Makaburu (apatheid era) walikuwa na mawazo kama yako! Yaani wanasema watu weusi wasipewe kazi maana hawakusoma! Cha ajabu walikuwa hawatoi uwezekano wa hao weusi kuweza kusoma, kwa mfano serikali kuwajengea mashule, walimu wenye uwezo etc.Sasa Kongwa watu wengi hawana shule kwa hiyo waajiriwe kisa ni uwiano? watu waajiriwe kwa uwezo wao kitaaluma