Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Jimbo la Spika ni kibaigwa!Huyu Jobo amekula nini??? Sheria zote zinazo tumika zime pita hapo bungeni. Yeye akiwa kinara. Anapo zitoa makosa tuna muona kama kaazi mbatata yeye na wabunge wake wasio na vision.
Maji Kongwa debe 1000/
Jimbo la spika.. View attachment 1780834
Kusomea manunuziWazo zuri ila anavyotaka 70% iende kwenye science na teknolojia maana yake anataka kuziua hizi course nyingine, ni sawa na kuhamisha tatizo lililopo science waanze kufurahia then arts waanze kulalamika.
Long live chademaHilo wazo lilishawahi kutolewa na mama Lyimo wa Chadema!
Kozi za arts haziitajiki,mtu kama anataka mkopo aende VETA kule hawabagui hata kama ni arts unapokelewa.Wazo zuri ila anavyotaka 70% iende kwenye science na teknolojia maana yake anataka kuziua hizi course nyingine, ni sawa na kuhamisha tatizo lililopo science waanze kufurahia then arts waanze kulalamika.
Naomba waendelee kuchewesha posho hivyo hivyoHilo wazo lilishawahi kutolewa na mama Lyimo wa Chadema!
Kuna wachina wanataka ndoo 4 za mbege kila siku, nikuunganishie tenda manka?Naomba waendelee kuchewesha posho hivyo hivyo
Endeleza tabia yako ya ulevi na hapo utafukuzwa tenaKuna wachina wanataka ndoo 4 za mbege kila siku, nikuunganishie tenda manka?
Ni sawa na kusema waalimu hawahitajiki tena!.Kozi za arts haziitajiki,mtu kama anataka mkopo aende VETA kule hawabagui hata kama ni arts unapokelewa.
Akiwa nje ya bunge yuko vizuri sana. Ndani ya bunge ni shida.Huyu Jobo amekula nini??? Sheria zote zinazo tumika zime pita hapo bungeni. Yeye akiwa kinara. Anapo zitoa makosa tuna muona kama kaazi mbatata yeye na wabunge wake wasio na vision.
Maji Kongwa debe 1000/
Jimbo la spika.. View attachment 1780834