Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

Ni ngumu sana kumwamini ahetani anaweza kukupa kitu bila hila. Wazo hilo lilipotolewa na mbunge wa CHADEMA, leo analiunga mkono. Je, wakati ule alipopinga, alikuwa kwenye uwendawazimu?
 
Higher Education Students Loans Board?
Sasa taasisi za elimu ya juu ni pamoja na hizo amako kunafundisha umakenika?
Jitu halijui elimu ya juu ni nini alafu ni mkuu wa mhimili. Shame😡😡😡😡
 
Lazima amedesa kwa mtu, haiwezekani ikawa wazo lake
 
Hivi kweli Mh. Ndugai hajui kirefu cha HESLB kweliii?. Labda aseme sheria iwe repealed then waje na sheria mpya itakayoanzisha Bodi ya Mkopo wa Elimu. Itambue ngazi zote za elimu za fani, cheti mpaka PhD

Ila kwa Bodi hii ya Elimu ya Juu hapana
 

Yaani bunge ni dhaifu mpaka spika anajaribu kuwa Mbowe wa bunge😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…