Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

Ndugai hana hoja , huyu hapaswi kuwa spika bali anapaswa tu kuwa mkuu wa mkoa
Kipi kimekushinda kuiona hiyo hoja Ndungai? Nani kwenye kundi lenu alishawahi kujibu au kukosoa hotuba/ maagizo ya mwenyekiti wenu Mbowe hadharani mara tu baada ya kuitoa na akabaki salama? Tumeshuhudia hivi karibuni wabunge 11 wakitimuliwa walipokosoa maagizo ya mkuu wa chama chao yaliyowataka wajifungie ndani kwa siku 14. Walitimuliwa kwa ukosefu wa adabu kwa mkuu wao Mbowe. Sasa kwa sababu ipi Mbowe naye asiadhibiwe kwa ukosefu wa adabu kwa mkuu wa nchi yake?
 
Hawa ndo Viongozi Watanzania wanaowataka, Viongozi wenye ujasiri wa kufanya Bila kupepesa macho, CCM Ni chama Teule na Magufuli ndo mbeba maono, tumuunge mkono na pia tuwasaidie wananchi Watanzania kupata akili kwa kuwapigia kampeni Viongozi wetu hawa waendelee kushika dola
 
Nimekuelewa sana mkuu!
 
Nilishakuonya mara kadhaa kwamba wewe hupaswi kujiita Dr Akili wewe ni Dr Mbumbumbu
 
Ndugai anamata mbowe mara ngapi kwa siku?ndugai kika akilala akiamka yeye ni mbowe tu
Ndugai anajua mbowe alikuwa aongee vyombo vya habari polis wakakataa asiongee ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asiape anaye toa neema hapendi
 
Hawa ni watani wa jadi ila wanalazimisha wananchi tucheze ngoma yao.
 
Hata Baba yangu akiongea pumba nampinga iwe Rais.
 
HUYU SPIKA DHAIFU BADO YUPO TU? YALE MABILIONI ALIYOYATUMIA AKIWA INDIA MBONA HAJARUDISHA YEYE? SPIKA HUYU NI WA OVYO.
 
Sasa habari za yeyena Mbowe sisi zinatuhusu nini?

Hayo ni mambo yao ya kiofisi walitakiwa wayamalize kiofisi kulingana na utaratibu uliopo
 
MBOWE kwa kujimwambafai na kujiona nabii hajambo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Milioni 2 tu ndiyo anakomaa mishipa ya shingo? Naye arudishe yake mabilioni ya matibabu India
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…