Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

Mbowe amejivua nguo hadharani achutame tu

Haiwezekani Mkuu wa Nchi aongee yeye aanze kupinga tu tena bila hoja mathubu
Ndiyo maana akionekana kwa mtogole sasa hivi anaweza kuliwa kiboga, maana hiyo lockdown hiyo mitaa ingeua mamiaa
 
Hatuna wasiwasi Ndugai atakujazilipa tu, hawezi kukwepa.
 
Chadema itishen press kesho tena kuwa. Ndugai mwongo ili azidi kuvimba na kuchanganyikiwa.Maajabu wakati mkiti wake anataka kuombewa yey amekarishwa na kauli ya Mbowe taifa kumuombea Ndugai huyu kweli gogo
 
Spika Ndugai ni boss wa Mbowe!
Na ana mamlaka ya kumtimua ubunge kwa sababu ya utoro na ukiukaji wa maadili ya viongozi kama alivyomtimua Tundu Lissu. Ila kwa sababu hataweza kuingia bunge jipya lijalo hakuna haja ya kufanya hivyo kwa sasa maana kaishajitimua mwenyewe!
 
Hivi waandishi walipata nafasi ya kumuuliza masawali?
 
Mwisho wa siku nasema I wish Tanzanians tungekuwa na uwezo wa kung'amua maswala Mtambuka ya nchi yetu.... siasa hizi za chuki namna Hii zinatengeneza bomu ambalo in the next coming future litalipuka....Ni lini tena Tanzania tutakuwa na undugu , kuheshimiana na kuungana katika kujenga nchi yetu Hii tukiachana na itikadi zetu za kisiasa? So sad.

Hata kama chadema wana mapungufu yao ,ila wamepitia kipindi kigumu kipindi hiki tokea ianze historia ya vyama vingi. hapa Utawala unaona vyama pinzani ni kama shetani wa miguu saba.wanatumia gharama zozote zile kukifuta.dah.[emoji848]



Tukumbuke sheria ya asili inasema
Kuwa to every action there is an equal and opposite reaction..Muda Ni mwalimu .
Na pia tukumbuke NO SIN SHALL GO UNPUNISHED.
Hizi siasa zinazoendelea hapa Tanzania usidhani dunia haizishuhudii. Ni muda tu.






MÊmENtO HoMO
 
Ni kipengele kipi cha Katiba ambacho kinamzuia Mbowe kuijibu hotuba ya nanihii? Au ndiyo katika kuulinda UDIKTETA?

Hotuba ya Mbowe bomba sana.
 
Huyu ubongo una mnyoo wa nguruwe hawezi kua na akili hata robo kumfikia mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…