Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

Mbowe alizuiwa kuongea kama una kumbukumbu vizuri, akapanga aongee baadae na baadae ndo jana.

Mkuu wa nchi sii mtu mwenye akili kuzidi wananchi, afterall ccm wanajipea tu madaraka kwa njia haramu.

Ataheshimiwa na wapumbavu walotoka majalalani
Mbowe amejivua nguo hadharani achutame tu

Haiwezekani Mkuu wa Nchi aongee yeye aanze kupinga tu tena bila hoja mathubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa chini ni tweet ya Nipashe Tanzania kuhusu kauli hiyo:

#BUNGENI "Freeman Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni anapewa ofisi, secretary, mhudumu, dereva, gari, nyumba, marupurupu, posho, senior officer, Sasa anachotaka kingine ni nini? Yaani yeye kila kitu anapinga, hiyo siyo sawa, namsihi aache"- Spika Job Ndugai
 
Job ni miongoni mwa IQ ndogo zilizowahi kuongoza bunge! Ugonjwa umemfanya awe mtu wa hasira na paniki! Ndiye huyu aliyemtandika rungu Gamba mwenzie kipindi kile sababu ya ubunge! Uzuri ni kwamba bunge lijalo hatakuwa spika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ana toa ushauri mna puuza aende wapi?
Ndugai you are lost...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani uwongo?
 
Mbowe amejivua nguo hadharani achutame tu

Haiwezekani Mkuu wa Nchi aongee yeye aanze kupinga tu tena bila hoja mathubu
Aabudiwe Mwenyezi Mungu tu. Ole wao wale wanaoabudu miungu watu ufalme wa Mungu watausikia tu.
 
Mbowe amejivua nguo hadharani achutame tu

Haiwezekani Mkuu wa Nchi aongee yeye aanze kupinga tu tena bila hoja mathubu
Aabudiwe Mwenyezi Mungu tu. Ole wao wale wanaoabudu miungu watu ufalme wa Mungu watausikia tu.
 
Ndiyo maana akionekana kwa mtogole sasa hivi anaweza kuliwa kiboga, maana hiyo lockdown hiyo mitaa ingeua mamiaa
Alilichukua wazo la wafadhili wetu kama lilivyo kumbe mazingira yetu ni tofauti na ya wenzetu wa nje ya afrika.
 
Mboe ni kiongozi wa watu wasiojitambua na wanaotaka mabadiliko bila ya wao kuanza kubadilika mboe sio mpinzani bila ni mpingaji wa maendeleo
 
Ndugai is a failure....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ubongo una mnyoo wa nguruwe hawezi kua na akili hata robo kumfikia mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Job Ndugai, born 1960:
- Master of Science, UDSM Agriculture unit
of Norway
- LLB from Open University of
Tanzania

2. Freeman Mbowe, born 1961:
- Division 0 form 4
- DJ & Bouncer of Mbowe's hotels
in DSM.

Kwa CV hizo nani kati ya hao atakuwa na ubongo wa mnyoo wa nguruwe? Circle the correct answer kama una akili timamu.
 
KAMA KUNA MBUNGE AMEFARIKI KWA MATATIZO HAYO YA CHANGAMOTO ZA KUPUMUA AU KITU KINACHOFANANA NACHO (MAANA KWETU HAPA KILA KITU KINAFICHWA) BASI BUNGE LINAFUNGWA (LOCKDOWN) ANGALAU KWA SIKU 14 ILI KUONA KAMA KUNA MAAMBUKIZI MENGINE NA KUWA NA NJIA YA KUYADHIBITI IKIWA NI PAMOJA NA KUWAPIMA WABUNGE WOTE. AMEFARIKI MBUNGE MMOJA, WAMEFUNGA BUNGE SIKU MOJA SIKU YA PILI WAMEFUNGUA, HAKUNA KUPIMA WALA PRECAUTION YOYOTE, WAMEFUATA WABUNGE WAWILI....INGEKUWA BORA WANGEWAPIMA NA KUJUA MAPEMA (KABLA MAPAFU HAYAJASHAMBULIWA) WANGEPONA WALE WAWILI WANGEWAHIWA. LAKINI BUNGE LA HOVYO, SERIKALI YA HOVYO NA RAIS WA HOVYO ANAOGOPWA KUAMBIWA UKWELI NA WASHAURI WAKE NA CHAMA CHAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…