Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Utetezi aliotoa ni kuwa dunia itamshangaa kuwafukuza bungeni wabunge tena wa kike. Kipi huelewi hapo mkuu, kwamba watoto wa kike wafukuzwe shule kisa mimba ila mijimama hiyo iloenda kusaka ugali iachwe.