Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

hivi hii nchi inaongozwa na nani ?
 
Hivi si ndo huyu spika aliepitisha sheria ya kukamata ng'ombe zinazokamatwa kwenye hifadhi badae akaja kujitetea kwamba wakati anaipitisha hiyo sheria alikuwa amesinzia?? Leo anatuambia tozo iko sawa? Wakati wa kampeni atakuja kusema alikuwa kwenye ziara wakati wanapitisha hiyo sheria
 
Kiwanda chetu cha magari NYUMBU kizalishe magari mapya, tuuze ulaya na marekani.
 
Mlipe kodi wa bunge na mpunguziwe mishaharaView attachment 1865966
Duuu😂😂😂 kwa majibu Haya viongozi wajue kuwa wanaoongozwa si wajinga kiasi hicho kiukweli hata ukijibiwa hivi unaweza ukajiona ni kichwa boga mbele za watu. Nyie viongozi mkikosea kuweni tu wakimya siku mkipata majibu ndo mjikanyage otherwise public is full of answers ,period
 
Maswali mazuri Sana haya sina uhakika yanaweza kumfikiaje
Vyombo vya habari vvinaweza kuweka utaratibu wa kukusanya maswali na maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kuwaalika wageni kwenye vipindi maalumu vya mahojiano nao
 
He is a disgrace to the institution that he serves. Ccm inahitaji big overhaul wanamuabisha mwenyekiti na raisi.wabunge wote mnashindwa kuwa na mawazo mbadala?
 
How was JPM managing? SGR, Hospitals, roads, NHPP, Ships, Planes etc. on top of that the country had 6 months of import cover!
 
Hakuna kuzoea kuibiwa.. watu tunatafuta namna ya kuminimize hiyo miamala na hatimaye kuacha kabisa.
Impact kubwa ipo kibiashara, mawakala washaanza kulia njaa wateja hakuna.
Mimi hapa nimeahirisha kumtumia dogo elf 70, nimemwambia apande daladala nauli jero afuate mshiko...
 
Hivi Ndugai anaisemea serikali au ana wasemea Wagogo wenzake wa Kongwa?
Huyu jamaa ni zero kabisa.
Wabunge wana takiwa kuwasemea wananchi na sio kuisemea serikali.
Sasa naamini Ndugai ana faili Mirembe.
Sisi huku serikalini tupo tuna relax tu maana ndugai anatokwa mapovu kwa kutusemea........acha niagize kuku mzima hapa.
 
Reactions: Qwy
He is a disgrace to the institution that he serves. Ccm inahitaji big overhaul wanamuabisha mwenyekiti na raisi.wabunge wote mnashindwa kuwa na mawazo mbadala?
Jobu ni spika tu, maelekezo yote yanatokea Mchamba wima kwa bibi kigagula.
 
Kwako Mkuu Ndugai.

Anza na wazo la Jerry silaa ,wabunge walimwe kodi kwanza ya Gross salary means Basic+Allowances.

Waambieni serikali wasinunue Vieite , wapunguze ma per diem.

Mazao ya misitu , Bahari , Madini kuna fedha nyingi sana huko za kupata.

Waongeze tozo kwenye utalii.
 
Sio walimwe, Wasipate posho kabisa, wafanye kazi nyingine za kuwapa kipato.

Kwenda bungeni wapande Mabasi ya serikali
 
Sio walimwe, Wasipate posho kabisa, wafanye kazi nyingine za kuwapa kipato.

Kwenda bungeni wapande Mabasi ya serikali

Yes zile milioni 90 za bure za magari wasipewe wabunge bali zeinde kwenye kodi ya mshikamano.
 
Je kubambikiwa kesi ndio uzalendo?
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…