Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Ndugai namkubali sana

Kabla ya bunge la 2015-2020 kuanza, Wakubwa ndani ya Chama na Serikali hawakumtaka Ndugai kwa kuwa anajifanya 'Nyutro'

Wabunge wa wakati huo wakaapa kuasi na kumchagua Ole medeye Mgombea wa Lowassa (Chadema)

Wazee wa Chama wakamjulisha Mkuu wa Nchi kuwa Mgombea wako ( Dr Tulia) hatakiwi wakati tayari kishachukua form ya Uspika

Haraka haraka Tulia akapewa Ubunge wa Ikulu ili apate sifa ya kugombea Unaibu Spika

Wakati huo Wabunge wa Upinzani walikuwa busy kumkampenia Ndugai dhidi ya Tulia na wakamsahau Mgombea Wao

Baada ya kuchaguliwa Spika na Naibu Spika, Ndugai akaendelea kujifanya 'nyutro' tofauti na Dr Tulia

Habari zikasambaa kuwa hatorudi bungeni

Wabunge wa Upinzani wakawa wanatoka Bungeni akikaimu U spika Dr Tulia

Umaarufu wa Tulia ukaongezeka hadi kutishia uspika wa Ndugai

Mstaafu akamwambia chagua moja sifa za mtaani uje upoteze u spika au pondwa mtaani ulinde u spika

Aliporudi Matibabuni akajitoa kikweli kweli kutetea 'nchi' na hasa kupambana na Assad hadi wagawa vyeo wakabadili msimamo
 
Una maanisha Kikwete ndo alimwambia chagua?
 
SWALI LA MSINGI NI KWA NINI NDUGAI ANAWATAKA KWA UDI NA UVUMBA WABUNGE WA CHADEMA? NGUVU KUBWA ILITUMIKA KUHAKIKISHA WABUNGE WA CHADEMA HAWATANGAZWI WASHINDI. LAKINI SASA NGUVU ILE ILE INATUMIKA KUHAKIKISHA CHADEMA INAKUWA NA WABUNGE BUNGENI. KWA NINI? KUNA NINI? KWANI HAWAKUJUA MWANZO KWAMBA WABUNGE WA CHADEMA NI MUHIMU?
 
Ndugai anajitoa ufahamu ili kumfurahisha Kayafa, lakini anajiwekea akiba ya Aibu uzeeni.akistaafu..
 
Kwani mimi niko chadema!?

Mimi ni mwanaume na niko ccm, hizo nafasi za akina Halima ni za nyie wanawake wa huko chadema ndio maana mnapigana vikumbo.

Sindano imekuingia kisawasawa. Mwanaume hawezi kuwa hasidi kiasi hicho wewe. Yaani I can imagine hapo unavyobeua tindikali kwa dhiki kuu uliyonayo.

Kamsaidie Bulaya maana mzee Mdee amemwelemea huenda ukapunguza shida za maisha.
 
Ni vizuri Ccm ikahangaika na mambo yake, kuliko hii ya kuhangaika kuvihodhi vyama vya upinzani.

Tumeshuhudia mara kadha kila wapinzani wanapokuwa na ajenda , Ccm huingilia kuvuruga. 1. Wakati wa uchaguzi wa wabunge kuwakilisha EALA, Commonwealth & Sadc. Mapendekezo yote ya upinzani Ccm haikuyataka. Wakaja na ya kwao na ndiyo yalipita. Sasa na hili la viti maalumu 19 vichache kabisa hawaridhiki Ccm mpaka waingilie !!!. Hii haikubaliki na ni udhaifu kung'ang'ania kukicontrol chama kisichikuhusu.

Tatizo la wasomi wa Tanzania ni hili la kutokujali hata kama jambo linavunja katiba. Huu uongozi utakumbukwa kwa mengi, likiwapo na madudu haya ya bungeni .
 
Leo nimedhibitisha pasi shaka kua ndugu yai ni wa mirembe kbs!
 
Tangu Uhuru, hatuj awahi kuwa na spika wa hovyo kama huyu Mgogo.
Nadhani ugonjwa alio nao una mpa shida ya kufuata sheria.
Huyu Mgogo ana tia aibu.
The most hopeless speaker ever.
 
Tuna spika wa bunge mwenye matatizo makubwa sana kiafya na kiakili.
Ndugai ni bure kabisa.
Amefanya bunge kama genge lake la kuuzia nyanya. Yaani amefikia hatua ya kuwaapisha wabunge garage!
Work hard ili siku moja na wewe uwe Spika ....hard work pays.
 
WaTz tusimame imara dhidi ya wanaojiona wana nguvu ya kuchezea katiba. Sasa hivi Ndugai anazidi kuota mapembe.
-Anatukana watu bila uoga wala kujali.
-Msimu uliyopita alimrudisha bungeni, aliyejitoa kwenye chama kwa hiari yake, sasa anawatambua kama waliotemwa na CHAMA chao.
-Kanuni kuhusu mahala pa kuapisha wabunge zinapewa nguvu zaidi ya katiba kutimiza matakwa yake

Wasomi, Wanasheria wako kimya ka hawaoni, wengine waliyoweka mitego ya uteuzi wanajitahidi kuonekana wanaunga mkono.
 
Yule mgonjwa msameheni tu, hana hata kidole kimoja mguuni
Tuna spika wa bunge mwenye matatizo makubwa sana kiafya na kiakili.
Ndugai ni bure kabisa.
Amefanya bunge kama genge lake la kuuzia nyanya. Yaani amefikia hatua ya kuwaapisha wabunge garage!
 
Wazee waachwe wapumzike, hao 19 ni wabunge wa chadema ,wataendelea na ubunge na hakika tutawalinda
 
Kwa umri ulionao mzee wetu Spika Ndungai unapaswa kua na busara za hali ya juu kupita kiasi. Tangu bunge la JMT lianze hakuna spika hata mmoja uliyefikia busara zake hata kidogo...
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweli

Ndugai ni bwege mmoja tu hasiyejitambua
 
Ndugai ana faili Mirembe. Na kichaa huwa hakiponi bali kinapoa tu.
 
Bunge Lipo Kazini Saa 24/7
Huo Moto Wa Kwa Mungu Kama Upo Wengine Sitaki Kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…