Ndugai namkubali sana
Kabla ya bunge la 2015-2020 kuanza, Wakubwa ndani ya Chama na Serikali hawakumtaka Ndugai kwa kuwa anajifanya 'Nyutro'
Wabunge wa wakati huo wakaapa kuasi na kumchagua Ole medeye Mgombea wa Lowassa (Chadema)
Wazee wa Chama wakamjulisha Mkuu wa Nchi kuwa Mgombea wako ( Dr Tulia) hatakiwi wakati tayari kishachukua form ya Uspika
Haraka haraka Tulia akapewa Ubunge wa Ikulu ili apate sifa ya kugombea Unaibu Spika
Wakati huo Wabunge wa Upinzani walikuwa busy kumkampenia Ndugai dhidi ya Tulia na wakamsahau Mgombea Wao
Baada ya kuchaguliwa Spika na Naibu Spika, Ndugai akaendelea kujifanya 'nyutro' tofauti na Dr Tulia
Habari zikasambaa kuwa hatorudi bungeni
Wabunge wa Upinzani wakawa wanatoka Bungeni akikaimu U spika Dr Tulia
Umaarufu wa Tulia ukaongezeka hadi kutishia uspika wa Ndugai
Mstaafu akamwambia chagua moja sifa za mtaani uje upoteze u spika au pondwa mtaani ulinde u spika
Aliporudi Matibabuni akajitoa kikweli kweli kutetea 'nchi' na hasa kupambana na Assad hadi wagawa vyeo wakabadili msimamo