mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Acha kupidisha mambo suala ni usaliti wa chama sio viginevyoHuwezi kusimama na kufukuza tu kisa wewe umekosa ubunge! Yuko sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupidisha mambo suala ni usaliti wa chama sio viginevyoHuwezi kusimama na kufukuza tu kisa wewe umekosa ubunge! Yuko sahihi
Wewe uelewe tu kwamba Mungu ameumba watu wema na wabaya kwa ajili ya kutenda mapenzi yake. Kuna watu wabaya duniani ambao wanaitaji watu wabaya zaidi kwa ajili ya kuwanyoosha ili wawe kwenye msitari.Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Bi Magreth Thacher alupofariki kuna kundi la watu walipita barabarani kusheherekea kifo chake, nilikuwa sijawaelewa lakini sasa nimewaelewa...
Ndio siasa! Mbona nyie mlikuwa mko tayari kuua mtu ili mradi kumtetea Mdee ila leo mnamuita mzee?Cha kushangaza ni Ndugai huyohuyo ndio alimfungia Halima Mdee mwaka mzima kutokukanyaga bungeni. Leo eti ana mahaba naye! Kama kuna motoni kweli basi huyu atakuwa kuni.
Ndio siasa! Mbona nyie mlikuwa mko tayari kuua mtu ili mradi kumtetea Mdee ila leo mnamuita mzee?
Pia umesahau ya Lowasa? Haya yanayowapata chadema ni halali yenu
Watu wote wenye akili timamu walishajua kuwa Ndugai atawalinda hao wabunge. Awamu hii katiba inavunjwa waziwazi.
Legally, ataendelea ‘kuwatambua’ mpaka siku CHADEMA wakimuandikia barua Msajiri wa Vyama na yeye akamwandikia SpeakerSpika Ndugai amesema bunge linawatambua wabunge wote 20 wa chadema
Ndugai ni kielelezo tu cha Nchi ilipofikia. Haiwezekani mtu mmoja afanye anavyotaka na Nchi yote ikubali tu kikondooAnayelidhalilisha bunge ni spika mwenyewe kwa kukosa weledi, akili, na busara kubwa za kuiongoza chombo hiki.
Kwani mimi niko chadema!?Kachukue nafasi ya Esta bulaya kwa mdee naona kazi imemwelemea
Jamaa ni Speaker wa hovyo pengine kuliko yeyote kuwa kutokea duniani.Ndugai ni kielelezo tu cha Nchi ilipofikia. Haiwezekani mtu mmoja afanye anavyotaka na Nchi yote ikubali tu kikondoo
Spika yupo juu ya sheria.Rejea suala la Cecil Mwambe mbunge wa Ndanda.Kuna watu walijaribu kwenda mahakmani,kama nakumbuka vizuri!Mbunge anatokana na chama,mbunge kama amekosa sifa na kupoteza sifa za kuwa mwanachama wa chama kilicho mdhamini kuwa mwanachama ,anapoteza nafac ya kuwa mbunge, hilo halitakiwi kujadiliwa..
uvunjifu upi?kipengele kipi kimekiukwa labda ukatuhadithia kidogoKuna jambo kweli halipo sawa katika Nchi yetu, hivi kweli uvunjifu mkubwa wa katiba uliofanyika Spika wa Bunge anakuja na utetezi mwepesi kiasi hichi.
Hata ukifungua kesi hakuna haki tena nchi hii maana kila kitu sasa anamuua mtu mmojaMKuu kwa kejeli hizi huwasaidii Chadema bali unawapoteza. Ulitakiwa, ninavyodhani, uwape maelekezo wafungue kesi ya kikatiba ama ya aina yoyote ile na inyofaa kuhoji na kupinga utekelezaji wa shughuli za bunge chini ya Mheshimiwa Spika Ndungai. Ni hayo tu!
Halafu unawatisha vyombo vya habari washindwe kufanya majukumu yao ya kitaaluma katika shughuli zao za kila siku mbona Kikwete ni rais Mstaafu na alitumika na ccm kupiga kampeni, Rais mstaafu wa awamu ya pili alitumia vyombo vya habari kumpigia debe rais wa sasa kuwa rais wa kudumu kupitia vyombo vya habari, Ndugai hayo hukuyaona ili tu waliokutangulia katika kiti hicho ndio wazee?Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF....
Kama kawaida anaanza kuwatisha.Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF...