Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sasa kiko wapi huyo ni yeye wako yuko kwa beberu wake Amsterdam!Lissu ni Yeye ndogo.hivi Mtu mwenye akili timamu ashabikie roll la mkaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kiko wapi huyo ni yeye wako yuko kwa beberu wake Amsterdam!Lissu ni Yeye ndogo.hivi Mtu mwenye akili timamu ashabikie roll la mkaa?
Ndio hivyo mkuu.... mimi sijatunga katiba wala kugawa majukumu. Ukiona kuna taasisi haifuati sheria na katiba, unaruhusiwa kwenda kushitaki. Lakini ukweli ndio huo. Mchakato wa kufukuza Mbunge sio mwepesi tu kama kuita press conference.Kwamba wakati Sophia Simba alipofukuzwa Uanachama ccm ndiyo press pekee ambayo alitakiwa kukifanyia kazi?
Bahati nzuri au mbaya danadana zote hizi ni rejea za baadae kwa watakaokua hai. Mbowe na timu yake najua wanazo pesa za kula kwa miaka kidogo ila anaemruhusu Job Ndugai kutumia mamlaka ya uspika kukeuka taratibu tulizojiwekea kama nchi kwenye katiba yetu siyo afya njema kwa watoto wetu na bali siyo kuwakomoa CHADEMA.
CHADEMA ni jina tu.
Umeuliza na kujibu mwenyewe , ahsante kwa maelezo yako.Mkuu Bashir Yakub , kwanza asante kwa kutuelimisha, naomba kuuliza, katika kula kiapo, katiba imesema
- Kwa kuzingatia Ibara ya 68 ya Katiba, kila Mbunge, kabla ya kuanza kushiriki katika shughuli za Bunge, ataapishwa na Spika mbele ya Bunge Kiapo cha Uaminifu "...
Ha ha ha, hapo lazima mzee mzima ulegee - watoto 19 wakali wote wa wako! Naona Mdee ndiyo anamyong'onyeza kabisa mzee shingoni.
Sasa kiko wapi huyo ni yeye wako yuko kwa beberu wake Amsterdam!
Aah kumbe ndiyo wewe uliyeolewa na basha la kibeberu huko Ulaya!! Endelea huko huko wala hatukuhitaji hapa TZ!! Tabia hiyo watz hatuhitaji kabisa ndiyo maana Lissu Amsterdam amechemsha!Bidada mi sina stress hata huyo Kayafa wenu akitawala 40 years consecutively (japo hawezi toboa maana mdudu kamchakaza)...
Nadhani watu tunapata tabu kuona tofauti ya Shule na Jengo la Shule, Mahakama na Jengo la Mahakama, Kanisa na Jengo la Kanisa, Bunge na Jengo la Bunge.Mkuu Bashir Yakub , kwanza asante kwa kutuelimisha, naomba kuuliza, katika kula kiapo, katiba imesema
- Kwa kuzingatia Ibara ya 68 ya Katiba, kila Mbunge, kabla ya kuanza kushiriki katika shughuli za Bunge, ataapishwa na Spika mbele ya Bunge Kiapo cha Uaminifu "...
Wewe nae unachekesha wafungue kesi kwenye mahakama hipi hapa TanzaniaMKuu kwa kejeli hizi huwasaidii Chadema bali unawapoteza. Ulitakiwa, ninavyodhani, uwape maelekezo wafungue kesi ya kikatiba ama ya aina yoyote ile na inyofaa kuhoji na kupinga utekelezaji wa shughuli za bunge chini ya Mheshimiwa Spika Ndungai. Ni hayo tu!
Kumbuka Chadema kwa chaguzi zote za serikali kuu zilizopita wamekuwa wakipeleka bungeni viti maalumu wake zao,mahawala zao,washikaji zao,dada zao,mama zao na hata kwa kuuza nafasi hizo kwa waliofika dau.Nafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mbunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Acha kukejeli wewe,usijitoe ufahamu kwa posho mnazopewa na Mbowe kwenda mitandaoni kutetea maamuzi ya kikundi Cha wahuni(kamati kuu ya Chadema) yakiongozwa na jemedari mchumia tumbo Mbowe/YudaMi ningekuwa ndo Ndugai, hawa ningewaapishia kwenye Car Wash kabisa ili ma-CCM wenzangu yaseme "...Si mnaona tuliwaambia hakuna kifungu kilichovunjwa pale... eti Mbowe alikuwa anahoji akina Mdee kuapishwa garage, si mnaona akina Polepole hao wameapishiwa kwenye carwash!
Amini usiamini... kuwa mwana-CCM raha sana! Yaani huumizi kichwa!!!
Bilashaka hata mama yako, shangazi yako, Bibi yako, dada yako nao jina lao ni Covid 19 .Kumbuka hao nao ni wanawakeHuku ni kuongeza gharama za bure, si wangeapishwa pamoja na wale COVID- 19 leo.
Kamati kuu ya kikundi Cha wahuni kikiongozwa na wahuni Mnyika na Mbowe hawawezi msababisha mtu avuliwe ubunge.Watu wote wenye akili timamu walishajua kuwa Ndugai atawalinda hao wabunge. Awamu hii katiba inavunjwa waziwazi.
Spika anasema kwa niaba ya Bunge kwani yeye ndiyo kiongozi na msemaji Mkuu wa bunge.Bunge linawatambua au spika ndio anawatambua? Bunge ndio limesema au spika ndio amesema?
Yani anayekufaa wewe unadhani anafaa kwa kila mtu? Fikiria nje ya box lako mkuuNafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mbunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Mkuu Mbowe ni kilaza hawezi kuwa na ufahamu wa Jambo hiloNadhani watu tunapata tabu kuona tofauti ya Shule na Jengo la Shule, Mahakama na Jengo la Mahakama, Kanisa na Jengo la Kanisa, Bunge na Jengo la Bunge...