Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

CCM B hiyo!
Ukweli usemwe nyie CHADEMA hamjapitia mapito kama ya CUF/ACT -Zanzibar. Hao wameandamana kweli na kucheza kichapo cha kijeshi nyie Polisi wa wilaya tu wakija na vi landrover viwili mnatapoteana kama panya.

Sioni kama mna haki ya kujiona mnajua kupigania haki kuliko wenzenu mngewacha na wenzenu wale na wapumzikekidogo. 2025 watarudi kuwapa kampani.
 
Lisu ukuje huku imekula kwako hiloooooooooooooo Lionel!!!!
Umezunguka weeeee kunadi Act wazalendo ukome waaambie na wazungu wako hiii ndio Tanzania uliyokuwa ukiwadanganya kujitia unaijua ili uwalie pesa zao

Refund back their money
Unaongea kama umekalia mdole vle..
 
Cdm wakitaka tuwapuuze ni hapo watakapobariki huo uhuni.
Mkuu soon tuu CDM na wao wataona bora tuu wawe wema na wao katika kuiletea nchi MAENDELEO.
 
Unaongea kama umekalia mdole vle..
Tuanzishe kampeni ya Chadema na Lisu rudisha pesa za wazungu walijitia ohh watanzania nawajua wakati hadi wabunge 19 Chadema wameenda bungeni na zanzibar Act wazalendo wameunga Serikali na kupeleka wabunge na wawakilishi na wakitaka maswala ya Tanzania yasipelekwe the

Lisu na Chadema acheni utapeli return back IDU and Amsterdam money you conmen
Amsterdam and IDU claim back your money from Chadema and Lisu certified Tanzania political conmen
 
CCM vyeo ni vingi tofauti na hapo Ufipa mnagombea ubunge wa viti maalumu muwape mademu zenu sema tu Halima James Mdee ameokoa jahazi!
Uko sahihi hao walioingia bungeni ndio walipigania sana Chadema kwenye dhiki milima na mabonde watanisamehe bure wengine wakawa mahawara wa viongozi wa Chadema makao makuu lakini lakini Chadema ilipopata nguvu wakaja wapya wakawabwaga kutafuta vyuma vipya wakawaona vikongwe

walijipanga viti maalumu makao makuu kuwapa vimwana wao watembo wapya asante Halima Mdee kuongoza mapinduzi ya waliotelekeztwa na viongozi wa Chadema tena wengine wakiwa wake halali kabisa wa ndoa

Safari hii walitaka kuwabwaga kuwapiga chini viti maalumu akina mdee

Halima Mdee hoyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…