Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Achakuchafua wasomi kwa kumlinganisha na huyo tundu wenu. Hovyo kabisaAcha kudeal na Lissu aliyekuzidi kila kitu. Msome mwenzako Stroke anavyotema madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achakuchafua wasomi kwa kumlinganisha na huyo tundu wenu. Hovyo kabisaAcha kudeal na Lissu aliyekuzidi kila kitu. Msome mwenzako Stroke anavyotema madini
Kuna mtu makini Tanzania hii kama Tundu Lissu?Achakuchafua wasomi kwa kumlinganisha na huyo tundu wenu. Hovyo kabisa
Viongozi na wanachama wa hivyo vyama upande wa Zanzibar ndiyo wana majibu sahihi.Maridhiano ya ACT na Ccm huko znz yamelenga nini?
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Baada ya kuona wanakataa upuuzi na upumbavu.CCM B hiyo!
Acha kuwalinganisha watumakini na vitu vya hovyo,hovyo. Mtu kashachanganyikiwa halafu unaleta utaniiiKuna mtu makini Tanzania hii kama Tundu Lissu?
Jambo usilolijua ni usiku wa kiza.chadema hao waliojazana kwenye teuzi zote wakati nyie mataga mnaotea mvi hapo lumumba?
Ukweli usemwe nyie CHADEMA hamjapitia mapito kama ya CUF/ACT -Zanzibar. Hao wameandamana kweli na kucheza kichapo cha kijeshi nyie Polisi wa wilaya tu wakija na vi landrover viwili mnatapoteana kama panya.CCM B hiyo!
Sasa imekuwaje hamkuingia barabarani?Kwani kwenye uchaguzi Mlimashinda kweli Lissu?? Au mlimpora ushindi wake??
Unaongea kama umekalia mdole vle..Lisu ukuje huku imekula kwako hiloooooooooooooo Lionel!!!!
Umezunguka weeeee kunadi Act wazalendo ukome waaambie na wazungu wako hiii ndio Tanzania uliyokuwa ukiwadanganya kujitia unaijua ili uwalie pesa zao
Refund back their money
Mkuu soon tuu CDM na wao wataona bora tuu wawe wema na wao katika kuiletea nchi MAENDELEO.Cdm wakitaka tuwapuuze ni hapo watakapobariki huo uhuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafailiSasa hivi unacomment kinyonge sana. Ngoja nikukumbushe kipindi kile ulivyokuwa
"Mwaka huu hatutakubali"
"Lissu ndio dawa yenu"....
Imeisha hiyoMbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi
Tuanzishe kampeni ya Chadema na Lisu rudisha pesa za wazungu walijitia ohh watanzania nawajua wakati hadi wabunge 19 Chadema wameenda bungeni na zanzibar Act wazalendo wameunga Serikali na kupeleka wabunge na wawakilishi na wakitaka maswala ya Tanzania yasipelekwe theUnaongea kama umekalia mdole vle..
Mbona akina Halima Mdee na wabunge wenzie wameutambua?Kwani kwenye uchaguzi Mlimashinda kweli Lissu?? Au mlimpora ushindi wake??
CCM vyeo ni vingi tofauti na hapo Ufipa mnagombea ubunge wa viti maalumu muwape mademu zenu sema tu Halima James Mdee ameokoa jahazi!chadema hao waliojazana kwenye teuzi zote wakati nyie mataga mnaotea mvi hapo lumumba?
Alipoporwa ukachukua hatua gani?Kwani kwenye uchaguzi Mlimashinda kweli Lissu?? Au mlimpora ushindi wake??
Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa Amsterdam?Kuna mtu makini Tanzania hii kama Tundu Lissu?
Uko sahihi hao walioingia bungeni ndio walipigania sana Chadema kwenye dhiki milima na mabonde watanisamehe bure wengine wakawa mahawara wa viongozi wa Chadema makao makuu lakini lakini Chadema ilipopata nguvu wakaja wapya wakawabwaga kutafuta vyuma vipya wakawaona vikongweCCM vyeo ni vingi tofauti na hapo Ufipa mnagombea ubunge wa viti maalumu muwape mademu zenu sema tu Halima James Mdee ameokoa jahazi!