Nimegundua kuwa kumbe anavyonyanyasa Bunge na wabunge sio akili yakeHata vijana wajinga huzeeka pia
Kweli kabsaSiasa za Kiafrika zinaweza kukuletea Maradhi yasiyopona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata vijana wajinga huzeeka pia
Jamani, tusibadirishe historia; hivi ni yeye (spika ) ndiye aliyetaka bunge lisiwe live? Tusije kumuonea mgogo wa watuMimi nampongeza Ndugai kwa kupongeza Bunge la Kenya live wakati la kwake hataki hata kusikiia neno LIVE
Heko speaker wetu kwa busara zako zilizotukuka. Big up sana.