Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Kwel CAG alisema kwl
Hapa hachomoki. Yeye anaongoza mhimili huru na analindwa na katiba hivyo kama anakubali kutumwa basi yeye ni dhoofu bin taaban (dhaifu) na tuna haki ya kumkoromea. Au umwamba wake ni kwa sisi wanyonge? Nafikiri huyu anatuona wajinga jinga kabisa hatujielewi.Jamani, tusibadirishe historia; hivi ni yeye (spika ) ndiye aliyetaka bunge lisiwe live? Tusije kumuonea mgogo wa watu
Du umenichekesha kinomaDah janaa arsenal tumekufa kizembe kweli
Ova
Jna tumekufa kibwege Kweli YaaniDu umenichekesha kinoma
Mie nadhani angelishauri Bunge la Kenya lifanye kama Bunge la Tanzania .Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Kilaza katika ubora wake! angechagua ya kusema ufupi wa mwili ufupi wa akili. Waandishi wa Ke wangemhoji sababu ya kuondoa bunge live Tz angejibuje? Rubbish speaker of a dirty house! GrrrrrrrrrrrrrrrrrrSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Popoma katika uboraNi jambo zuri kuwapongeza maana shughuli zote za Bunge ni uwakilishi kupitia kwa wabunge wao kwa hiyo kamati za bunge kuonyeshwa ni jambo zuri sana tena ikiwezekana na mijadala ya Bunge kwa ujumla iwe inaonyeshwa kwenye runinga.Wakenya inawabidi kufurahia hii hatua ni jambo zuri hata ungekuwa ni wewe lazima ungetoa salam za pongezi