ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,046
Asiyejua maana ya unafiki ndio huo, anajisikiaje kusifu bunge live la Kenya wakati nchini kwake amezuia.
Aiseeh acha bora angeongelea la kutumia kiswahili kuliko huo unafiki
Asiyejua maana ya unafiki ndio huo, anajisikiaje kusifu bunge live la Kenya wakati nchini kwake amezuia.
Du, ngoja ninyamaze tu
...sifa ya unafiki ni kukosa akiba ya maneno uyo jamaa akizeeka atakuwa wizadiKwa nini asiwakumbushe waKenya kufanya kazi kama walivotuambia?
Angekomaa tungekuwa tunaliona hadi sasa. Kumbuka katiba inalipa bunge nguvu ya kumkomalia Rais hata kumtimua ukibidi lakini sasa masilahi ndiyo mtihani mkubwa kabisa kabisa.Jamani, tusibadirishe historia; hivi ni yeye (spika ) ndiye aliyetaka bunge lisiwe live? Tusije kumuonea mgogo wa watu
Sasa hii ndio maana ya ile kauli "kuuma na kupuliza"Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Hivi watu huu unafiki wao huwa wanaufanyia tathmini au ndio wameweka mbele matumbo yao tu!!?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
hapo patamu. mIE NAMPONGEZA YULE ALIYEMWALIKA.😂😂😂😂
SASA ULITAKA AFANYAJE akuna jinsi lazima aseme kitu,Unafiki ni aibu sana !
Hapo chacha yani kuna watu mshipa wa aibu ulishakatika siku nyingi sanaAsiyejua maana ya unafiki ndio huo, anajisikiaje kusifu bunge live la Kenya wakati nchini kwake amezuia.
Ujinga wa kiwango cha phd
[emoji120][emoji120][emoji120]Hiyo ni sawa na kwenda kumsifia mke wa mwenzio kuwa akivaa suruali anapendeza sana, lakini hutaki wakwako avae kwani unasema ni vazi la kihuni.
Lord have mercy on him.Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Anawapongeza wanaume!!Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Mnafiki mkubwa. Bongo mbona wanajifungia chumbani. Gizani! Na yeye na naibu spika wanaweweseka tuSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika Ndugai yupo Jijini Nairobi, katika Uzinduzi wa Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya (Standing Orders) kwa lugha ya Kiswahili
Dola inaundwa na mihimili mi3 inayojitegemea.Jamani, tusibadirishe historia; hivi ni yeye (spika ) ndiye aliyetaka bunge lisiwe live? Tusije kumuonea mgogo wa watu