Spika Ndugai awapongeza Wakenya kwa kuonesha mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge

Kama ametumia mabilioni kwenye matibabu midawa yote hiyo kweli ubongo utabaki salama? Acha nao huko waone ujuha wake.
 
Jamani, tusibadirishe historia; hivi ni yeye (spika ) ndiye aliyetaka bunge lisiwe live? Tusije kumuonea mgogo wa watu
Hapa hachomoki. Yeye anaongoza mhimili huru na analindwa na katiba hivyo kama anakubali kutumwa basi yeye ni dhoofu bin taaban (dhaifu) na tuna haki ya kumkoromea. Au umwamba wake ni kwa sisi wanyonge? Nafikiri huyu anatuona wajinga jinga kabisa hatujielewi.
 
Ni jambo zuri kuwapongeza maana shughuli zote za Bunge ni uwakilishi kupitia kwa wabunge wao kwa hiyo kamati za bunge kuonyeshwa ni jambo zuri sana tena ikiwezekana na mijadala ya Bunge kwa ujumla iwe inaonyeshwa kwenye runinga.Wakenya inawabidi kufurahia hii hatua ni jambo zuri hata ungekuwa ni wewe lazima ungetoa salam za pongezi
 
Kwa wenye akili huo ni uthibitisho wa kuwa Bunge la Tz haliendeshwi kwa Uhuru na maamuzi yote yanatolewa Ikulu, Bunge ni kupiga mhuri tu!
 
Mie nadhani angelishauri Bunge la Kenya lifanye kama Bunge la Tanzania .
 
Kilaza katika ubora wake! angechagua ya kusema ufupi wa mwili ufupi wa akili. Waandishi wa Ke wangemhoji sababu ya kuondoa bunge live Tz angejibuje? Rubbish speaker of a dirty house! Grrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Nape akiwa waziri wa habari ndie alileta zahama hiyo wala si Speaker Ndugai.Leo yupo waziri mwingine.
Waziri aliepo kwani hana meno?
 
Popoma katika ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…