johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!