naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Kabisa 😀😀😀Hayo ni mambo yao wenyewe wabunge. Sisi hayatuhusu na Spika asituchoshe na habari hizi. Kwani walipokuwa wanapewa mkwanja walitujulisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa 😀😀😀Hayo ni mambo yao wenyewe wabunge. Sisi hayatuhusu na Spika asituchoshe na habari hizi. Kwani walipokuwa wanapewa mkwanja walitujulisha?
Deni ni siri kati ya mkopwaji na mkopani. Pilipili msiyoila inawawashia nini?Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio shida ya hawa mbogamboga. Hawaoni hata ni bora wakajadili jinsi ya kupambana na Korona. Shame on themMasikini sisi wa huku chini itatusaidia nn kujua wameondoka na shilingi ngapi?asituchoshe
Msiwasumbue wakati wa kampeni hawana hela!
Nyie ndy wazee wa mzinga mnawasumbuaMsiwasumbue wakati wa kampeni hawana hela!
Kwa nini wewe Taifa lako unaliita takataka kila mara huoni unajidharirisha wewe mwenyewe ni sawa na kuitukana familia yako? Au hujitambui?Taifa la wajinga na matakataka imatuhusu nn sisi kujua hayo ya kuondoka mikono mitupu
Klmmyk
Sent using Jamii Forums mobile app
We na lindugai wote wapumbafu,huyu bwana anaropoka tu akishikwa mahali pasipo sababu za msingi,mbona ya kwake hasemi au kwakua alipiga kupitia matibabu yake?huyu bwana ni mtu wa ajabu sn hana uadilifu wwte ndo maana ndo maana yes kwa kila kitu akiambiwa na jiweMnaweza kuwasaidia wabunge wenu kwa kuwachangia ili walipe!
Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
Hii taarifa inamlenga nani?Waondoke patupu wasiondoke nadhani haituhusu.Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
UKWELI KILA MBUNGE NA WAZIRI ALIYEKAA MIAKA MITANO ANAKUSANYA SI CHINI YA BILLION 2, SO UBUNGE UNALIPA