Spika Ndugai: Baadhi ya wabunge wataondoka mikono mitupu kwa sababu wanaelemewa na madeni sugu

Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.

Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.

Source Tanzania Daima.

Maendeleo hayana vyama!
Very stupid statement to the country's citizenry! Hatuhitaji kujua pesa wanazoondoka nazo wabunge. Tunataka kujua mafanikio yao kusimamia maslahi ya wananchi. Kazi ya wabunge siyo kutafuta pesa za kuondoka nazo! Imekuwaje spika analeta maneno yasiyomsaidia mwananchi.
 
Yule Mwezi mchanga...au menopause!
 
Back
Top Bottom