johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnaweza kuwasaidia wabunge wenu kwa kuwachangia ili walipe!Masikini sisi wa huku chini itatusaidia nn kujua wameondoka na shilingi ngapi?asituchoshe
Sasa unategemea nini kwa MTU aliyeingia bungeni kwa kupiga fimbo mwenzake? Kwake hiyo ni point yenye afya kwa wapiga kura wake!!Masikini sisi wa huku chini itatusaidia nn kujua wameondoka na shilingi ngapi?asituchoshe
Taifa la wajinga na matakataka imatuhusu nn sisi kujua hayo ya kuondoka mikono mitupuSpika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
Masikini sisi wa huku chini itatusaidia nn kujua wameondoka na shilingi ngapi?asituchoshe
Toka yamtokee haya Ndugai ni debe tupuTaifa la wajinga na matakataka imatuhusu nn sisi kujua hayo ya kuondoka mikono mitupu
Klmmyk
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri yao yeye ataondoka na korona tumsahau kabisa,sura imevimba kama kala amiraSpika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo ni mambo yao wenyewe wabunge. Sisi hayatuhusu na Spika asituchoshe na habari hizi. Kwani walipokuwa wanapewa mkwanja walitujulisha?Asituchoshe wakati wanakopeshana mbona hakutuambia?
So what ???Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!