Spika Ndugai: Baadhi ya wabunge wataondoka mikono mitupu kwa sababu wanaelemewa na madeni sugu

Deni ni siri kati ya mkopwaji na mkopani. Pilipili msiyoila inawawashia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema kuwa Waheshimiwa walitengenezewa mazingira mazuri ya kukopeshwa hizo hela huku wakopeshaji wakijua fika utakuwa ni mzigo mkubwa kwao Waheshimiwa.

Lengo kuu lilikuwa ni kuwafuata wale Waheshimiwa wa upande wa pili na kuahidiwa kuwa endapo watakubali kuachia ngazi na kujiunga nao kwajili ya kuunga mkono juhudi basi madeni yote yale yanachukuliwa na kulipwa na wale wanaowashawishi yaani kina Slowslow.

Hadi sasa Slowslow inasemekana bado hajafunga dirisha la usajili. Muda ni mwalimu mzuri. Kila kitu kitakuwa wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bunge la tz ni wezi wakubwa, kiinua mgongo gani hicho wanalipwa
kila baada ya miaka 5??!!.
kiinua mgongo HALALI unatakiwa ulipwe once and for all...kumbe ndio maana mtu akishakuwa mbunge hapa tz automatically anapata laana ya dhulumat!!.
wabunge wakishatoka bungeni wakirejea uraiani maisha huwa yanawapiga vibaya...hawana tofauti na maaskari kwa sabb maaskari nao huwa wana laana ya kula rushwa!!.
karma is a bitch!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaweza kuwasaidia wabunge wenu kwa kuwachangia ili walipe!
We na lindugai wote wapumbafu,huyu bwana anaropoka tu akishikwa mahali pasipo sababu za msingi,mbona ya kwake hasemi au kwakua alipiga kupitia matibabu yake?huyu bwana ni mtu wa ajabu sn hana uadilifu wwte ndo maana ndo maana yes kwa kila kitu akiambiwa na jiwe
 

Yeye ataondoka na ngapi ?
 
Naiona hii kauli ya spika kama kuingilia uhuru wa faragha wa wabunge wenzake. Sisi inatuhusu nini?
 
Hii taarifa inamlenga nani?Waondoke patupu wasiondoke nadhani haituhusu.
 
Mheshimiwa anapokuwa muhishiwa!!! Namdai lemana vipi atatoka nangapi mweshmiwa supika nimsbirie getini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…