Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuwafokea Wadanganyika hawafanyi kazi!! Huoni sasa siku hizi ukienda maofisini yamerudi mambo yale yale ya zamanii ya kulembua macho ofisini badala ya kuwahudumua wananchi; wanajua hakuna lolote litakalowafaya wawajibike!!Dodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu akaanza kuvimba na kushurutisha kwa kuwaweka watu ndani kwani kunawaondolea sifa ya kuwa viongozi.
Anyway ujumbe umefika Shinyanga ila hao Wabunge wa Uviko19 unaowakumbatia inakuwaje.
Dongo kwa Hangaya hili kuhusu kutoa maagizo ya kumfunga jela Mh. Mbowe.Dodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
HangayaKwa mtizamo wako Job Ndugai alimaanisha/alimlenga nan??
Anawadharau sana wanaumeAliyemuhukumu mbowe na kuiaminisha Dunia kuwa mbowe Ni Gaidi na ushahidi wanao wa kutosha Ni nani?
Anayepelekea kupindishwa kwa sheria katika kesi hiyo Ni nani?
Aliyetoa hongo ya madaraka baada ya kuona hyo kesi inakaribia kupigwa chini Ni nani?
Kifupi Hangaya ndiye anayelazimisha kumfunga Mbowe! Acha maCCM mtafunane , ila ukwel uko wazi kwa Kila mwenye akili!
Huyo Hangaya msimtetee, yeye ndiye anayewapa viburi wanawake wengine aliowapa mamlaka!
CCM na bendera ni mapacha.Usiwaamini CCM
Kuna mwingine mkuu wa mkoa wa Shinyanga anashurutisha taratibu za manunuzi zisifuatwe ili kuwahi pesa alizopewa zisirudishwe hazina. Et afisa manunuzi anasimamishwa kazi hadi miradi inayohusu pesa hizo iishe ndio arejee kazini!!!Kwa hiyo Ndugai ameamua kumvua nguo chifu Hangaya?
Maana hizo ndio sifa zinazomgusa moja kwa moja mama maushungi.
Viongozi wafuate utaratibu sheria, ukali wawafanyie Wake/Waume zao majumbani ndugu.Tuanaushahidi kuwa bila viongozi kuwa wakali mambo yetu hayaendi
Viongozi wafuate utaratibu sheria,ukali wawafanyie Wake/Waume zao majumbani ndugu.
Nchi haiendeshwi kwa ukali inaendeshwa kwa kufuata Katiba na Sheria,Kwa sisi wabongo kufuata sheria na taratibu hakutoshi viongozi lazima wajiongeze na ukali!! Bila hivyo hatuendi.
ili kuwapiga makofi watendaji wa Serikali Nchi haiendeshwi kwa hisia Ndugu.
Anamsema hangaya?
Acha kumkashifu kiongozi wetu.Kwa hiyo Ndugai ameamua kumvua nguo chifu Hangaya?
Maana hizo ndio sifa zinazomgusa moja kwa moja mama maushungi.
Kapata malipo yake.. kumbe alianza kitambooo eehKwa hiyo Ndugai ameamua kumvua nguo chifu Hangaya?
Kwa hiyo Ndugai ameamua kumvua nguo chifu Hangaya?