Ametudhihirishia kuwa hana say mbele ya mawaziri wakimkomalia. Kuna faida gani ya kupeleka miswada bungeni?Nduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"
Sio kwamba hana "say" bali hajui jukumu lake.Ametudhihirishia kuwa hana say mbele ya mawaziri wakimkomalia. Kuna faida gani ya kupeleka miswada bungeni?
Wana Kongwa walijiandaa kumtema, lakini CCM walihakikisha anapita bila kupingwa.Kutunga sheria na kuisimamia serikali maana yake ni nini? Tangu tupate uhuru hatuj awahi kuwa na spika wa hovyo kama huyu. Haelewi hata maana ya chombo anacho kisimamia.
Nduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"
Nduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"
Ile dhana ya "Bunge linatunga sheria" ni muda muafaka kwa watu kuifuta mawazoni mwao ( kwa wale wanaofikiri hivyo)
Waziri mmoja ajitolee kuandaa mswaada wa kulifuta bunge na wale wote wanaofanya matumizi mabaya Kodi zetu . Sheri hiyo ipite kama nyingine, na muda mfupi ifutwe🏋️.Matumizi mabaya ya kodi zetu.
Wananchi wanategemea maendeleo katika uongozi wa aina hii. Bila kuitoa CCM madarakani hata Msumbji watatupita kama China na Korea zilivyo tuacha.Wakati mwingine kukaa kimya huwa ni vizuri zaidi, Kwa kifupi tu tanzania hatuna bunge bali tuna interest za watu
Kuna wakati unaweza kudhania nchi inaongonzwa na mazombie yaani kiukweli kuna vitu vinatia hasira mpaka basiWananchi wanategemea maendeleo katika uongozi wa aina hii. Bila kuitoa CCM madarakani hata Msumbji watatupita kama China na Korea zilivyo tuacha.
Bunge linajua kabisa hii Sheria itawaumiza Wananchi ambao ndio waliowachagua kuwa Wabunge linapitisha hill ni Bunge Zuzu na ndio Maana Bunge hilo tunastahili Wabunge wake kuitwa MAZUZUSPIKA NDUGAI ATOA KAULI 'WABUNGE WASILAUMIWE KWA KUPITISHA SHERIA AMBAZO BAADA YA MUDA MFUPI HUREJESHWA BUNGENI KUFANYIWA MABADILIKO"
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa.
Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya mawaziri na naibu mawaziri yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi.
"Wakati mwingine unaona hii aah..., lakini waziri anang’ang’ana kwa kawaida wabunge watasema sawa ipite ukienda huko hata miaka miwili haishi unarudi na amendment (marekebisho),” amesema akisisitiza kuwa ndio maana kila mkutano wa Bunge kuna muswada wa marekebisho ya sheria.
Chanzo: Mwananchi
#edwinmoshiupdates
View attachment 1994084
Huu ndio ujinga wa Ccm. Hawataki watu wenye akiliWana Kongwa walijiandaa kumtema, lakini CCM walihakikisha anapita bila kupingwa.
Wabunge wengi ‘walipita bila kupingwa’ na wengine walitangazwa kwa hisani ya wakurugenzi. Bunge hili hakuna baraka ya wananchi.Bunge linajua kabisa hii Sheria itawaumiza Wananchi ambao ndio waliowachagua kuwa Wabunge linapitisha hill ni Bunge Zuzu na ndio Maana Bunge hilo tunastahili Wabunge wake kuitwa MAZUZU