Spika Ndugai: Bunge lisilaumiwe kwa kupitisha sheria ambazo baada ya muda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho

Kumbe Waziri anauwezo wa kulilazimisha Bunge kupitisha sheria anayoitaka.

Sasa hilo Bunge la Jamhuri au kikao cha ndani cha CCM.?
 
Sasa kuna haja gani ya kuwa na Bunge lisilo na uwezo wa kufanya kazi iliyochaguliwa kwayo?.

Sasa kuna tofauti gani kati ya alichosema Spika na alichosema Assad?.
 
Bunge kazi yake kutunga sheria

Leo Spika anataka Bunge lisilaumiwe kwa kutunga sheria

Halafu wakiitwa Mazuzu wanasema wamechaguliwa na watu laki tano.
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa...
Tatizo liko pande zote mbili.
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa...
Hii inamaanisha kuwa yeye na wabunge wake ni sawa na "robots"!
 
Si kama mradi wa bandari ya Bagamoyo? Waliupitisha kwa mbwembwe sana, JPM akasema ni wa kipumbavu
 
Speaker zuzu kama zuzu lilivo zuzu mfano wa Vuvuzela.
 
Jinga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…