New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
Nimemsikiliza wakati anaharisha utumbo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama taifa lingekuwa na watu serious, Ccm isingekuwa madarakani hadi dakika hii.Si dhani kama spika ni mzima. Maana mtu mzima na mwenye akili timamu aliyekabidhiwa dhamana kubwa namna ile hawezi kutoa kauli za kijinga namna ile akijua kuwa dunia nzima inamsikiliza na kumtazama. Hapa ha aibiki yeye tu ni pamoja na serikali nzima akiwemo rais.
OvaTatizo siyo Ndugai.Tatizo limejificha hapa[emoji116]View attachment 1638616
Itafahamika tu wacha kupiga mayowe!
Tanzania hatuna wandishi wa habari, yote yameufyata!! Wandishi wetu wa habari ni umbwa kama umbwa zingine!!Kama taifa lingekuwa na watu serious, Ccm isingekuwa madarakani hadi dakika hii.
Wanachofanya maccm ni foreplay wakijiandaa kuwabikiri raia wa taifa hili.
ManjagataNaomba nitoe onyo kali kabisa, Ndugayi asitufanye sisi Watanzania wote ni mazombie kama wana CCM wenzake! Haya ni matumizi mabaya ya ofisi pamoja na raslimali za Taifa. Asifikri anawakomoa CHADEMA, huko ni kutubebesha mzigo sisi raia kwa matumizi mabovu ya kodi zetu! Naomba akome kama alivyokoma ziwa la mamake! Hivi hata Rais naye haoni kama huu ni hukumu uchumi wa nchi yetu? Hii pesa anayotaka kuihonga kwa watu ambao siyo wabunge siyo uhujumu uchumi? Ndugayi ni umbwa kama umbwa zingine!!
Ha ha haaaa, mkuu wanatudharau sana sisi raia hawa jamaa! Waache upumbavu wao bwana!
Hakika Taifa hili linaenda kutumbukia shimoni kutokana na "uchizi" wa huyu Spika wetu Ndugai. OVAHahaha usihangaike na ccm huko ndio nyumbani kwa wajinga ila wana madaraka na nguvu ya majeshi yote.
Tunajua hawajawahi kufuata sheria na hawafuati sheria yanini kuongelea sheria tena?!
Jibu ni rahisi marukanga yanamsumbua,mpka kichwa ni kuna vidonda dawa za kupunguza makali ya uchimwi ni kali sana.Hakika nchi hii hivi sasa inatawaliwa kwa "double standard" ya hali ya juu sana........
Refer mwaka 2017 wakati CCM inamvua ubunge Sophia Simba, akiwa Mwenyekiti wa kina mama hapo hapo mbunge wa viti maalum, ubunge wake ulikoma pale pale, CCM ilipotangaza kumvua uanachama.
Kwanini hivi sasa Spika Ndugai afanye vinginevyo, wakati Chadema ilipofanya vivyo hivyo kwa kikao chake cha Kamati Kuu kuamua kuwavua uanachama wabunge wake wa akina Halima Mdee?
Big question am asking myself, WHY?
Rais na hicho ki ndugai wote lao mojaNaomba nitoe onyo kali kabisa, Ndugayi asitufanye sisi Watanzania wote ni mazombie kama wana CCM wenzake! Haya ni matumizi mabaya ya ofisi pamoja na raslimali za Taifa. Asifikri anawakomoa CHADEMA, huko ni kutubebesha mzigo sisi raia kwa matumizi mabovu ya kodi zetu! Naomba akome kama alivyokoma ziwa la mamake! Hivi hata Rais naye haoni kama huu ni uhujumu uchumi wa nchi yetu? Hii pesa anayotaka kuihonga kwa watu ambao siyo wabunge siyo uhujumu uchumi? Ndugayi ni umbwa kama umbwa zingine!!
Yaani nimetoka kukichukia ki Ndugai sijui kama nini! Kazee kamekuwa kajinga, kapumbavu na kalofa sana haka!Rais na hicho ki ndugai wote lao moja