Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mimi naamini Mama yuko nyuma ya Nape na watu wasidhani hawa jamaa walioamua kufunguka wanakurupuka, bali wajue wana support kubwa tu ya watu wazito katika chama na serikali.Kama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Haiwezekani katiba ivunjwe na kukanyagwa kizembeMkuu acha tu ,ombi KWA viongonzi wangu wa CHADEMA, hakuna kuandika barua nyingine ,acha abaki na wabunge wake wadhulma mungu yupo asema bwana
Kuweni na huruma na wamama, wale ni mama zetu jamani!Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi una mshipa wa aibu kweli?
Kama natural justice haukuzingatiwa mbona walikata rufaa? Kama kulikuwa hakuna kikao halali mbona walikata rufaa?
Mwaka 2017 mwezi julai ulipokea barua toka kwa Lipumba juu ya wabunge wa CuF waliofukuzwa. Na wewe bila mashariti yoyote unayotoa sasa hivi uliridhia kuwafukuza. Iweje kwa hawa akina mama 19 ndio uwe na masharti?
Tumia akili na utambue kuwa katiba ni sheria mama.
View attachment 1772141
Dogo amechoma mfupa!🤣🤣🤣Dogo naomba ujiheshimu.
Uzuri aliyekuwa anamjingua kifua,ameshakuwa mwendazake,ndiyo maana sipika amechanganyikiwa.Akili za huyo Spika ni kielelezo cha viongozi wa CCM na wanachama wake.
Hiyo nguvu iliyopo nyuma ya Nape imeishia kwa Nape au imeenda mbali zaidi hadi kutoka nje ya bunge?Kama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Kudekeza watu kuchezea katiba kisa eti wameiga ni kulea ugonjwa.Mwanzilishi wa hizi tabia ndiye wa kulaumiwa zaidi.
Hawa akina Ndugai wameiga tu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
AmenAkili za huyo Spika ni kielelezo cha viongozi wa CCM na wanachama wake.
Mkuu wapambe wa mwendazake wakisikia Hili jiandae wangiwa usiku huu, kundi lake ni la ajabu sanaHaiwezekani katiba ivunjwe na kukanyagwa kizembe
Ndugai anaaibisha WagogoSpika Ndugai yuko imara kuhakikisha HAKI za kila MTU zinalindwa.
Una wazimu si bureKutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.
CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.
Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.
Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge
Tusubiri.
Nakuonea hurumaUna wazimu si bure
Mungu akubariki wewe Mwana CCM kwa kuliona hili kwa kuweka maslahi ya Taifa mbele na kuiheshimu Katiba yetu.Haiwezekani katiba ivunjwe na kukanyagwa kizembe
Wameiga kwa nani?Kudekeza watu kuchezea katiba kisa eti wameiga ni kulea ugonjwa.
Pale ni aiza afe beki ama afe kipa, ila mpira hauingii nyavuni.Kutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.
CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.
Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.
Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge
Tusubiri.