Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Siku za hivi karibuni spika Ndugai ameonekana akitoa maamuzi yanayoenda kinyume Cha sheria na Katiba ya nchi Hasa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe na Wabunge waliofukuzwa jana na Chadema Anthony Komu,Wilfred Lwakatale, David Silinde na Joseph Selasini.Jana kabla hajapokea document yoyote ya chama kaanza kulisemea jambo alilolisikia kupitia vyombo vya habari .Kifupi ni kwamba Ndugai hii nchi sio yako Kuna siku vitendo vysko vitahojiwa tu kwa mujibu wa sheria na katiba.Nakukumbusha uamuzi wako wa siku za nyuma kwenye suala kama hilihili.