Spika Ndugai: Huku Mtu akishakuwa Polisi anaona kuweka Watu ndani ni raha. Watu wanarundikwa tu mahabusu

Kwanini wasitunge sheria kuzuia hali hiyo, au mpaka Rais aseme.
Sheria zinatungwa na Bunge lakini matakwa ya sheria gani itungwe au ibadilishwe yanatoka Serikalini.

Bunge haliwezi kutunga sheria bila muswada wa sheria hiyo kuwasilishwa Bungeni na Serikali.
 
Kuna watu wanaamini kuwa ni rahisi kuwatenganisha CCM na UNAFIKI
 
Ila mbowe akiwekwa mahabusu yeye ndugai kwakwe huwa ni sherehe[emoji849]

Ndugai bhana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Mbowe anawekwa Mahabusu maana Nyumbani kwake hata hapajulikani! Mara Dar,Mara Moshi,Mara Arusha,Mara Dubai,yaani Askari unachanganyikiwa hujuwi uchukuwe address ipi!!
 
Halleluyaaah, usikute NTU kaingia na mafuta ya upakoo mjengoni, anyway wamisho atakuwa wa kwanza kama ilivyoandikwa.
 
Sawa spika kaongea point
Sasa wanaamuaje

Ova
 
Kwa nini hatungi sheria kurekebisha hilo??
 
Ndugai mwenyewe au umemlisha maneno?😂
Tuna viongozi wanaounda vidonge ganzi kama chanjo ya kuendana na awamu iliyoko ikulu. Usanii kweli kweli. Mtu anaongea leo utafikiri ubongo umebadilishwa?
 
Hata kupiga watu na fimbo hadi mgombea mwenzako anazimia nayo ni kosa. Ndugai mzandiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…