Spika Ndugai: Huku Mtu akishakuwa Polisi anaona kuweka Watu ndani ni raha. Watu wanarundikwa tu mahabusu

Ukiongea jambo la busara nakupa kongole, ongeza heshima kwa kufuata katiba!
 
Huyu jamaa akili zake utafikiri mtandao wa Airtel, kuna wakati zinapotea, kuna wakati zinarudi. Haeleweki hata kidogo!
 
Hata aongee la maana huyu Spika hafai..
Tumeshamkabidhi kwa Mwenyezi MUNGU ashugulike nae kama Meko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ni kweli kabisa hata mie naomba sana Mungu afanye kitu hapa
 
Unafiki mtupu. Yeye mbona alimpiga mpinzani wake wa uchaguzi fimbo mpaka akazirai. Anajifanya ana uchungu sana?
 
Walifanya kosa sana siku ile alimtandika mwenzie rungu la kichwa ilitakiwa akalale huko kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…