chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Ukiongea jambo la busara nakupa kongole, ongeza heshima kwa kufuata katiba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai huyu? Acha mzaha bwana. Aliyetaka CAG Assad afungwe pingu kupelekwa Dodoma! Ameanza lini kuthamini utu wa mtu?Ila mbowe akiwekwa mahabusu yeye ndugai kwakwe huwa ni sherehe[emoji849]
Ndugai bhana
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hata aongee la maana huyu Spika hafai..
Tumeshamkabidhi kwa Mwenyezi MUNGU ashugulike nae kama Meko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Hata aongee la maana huyu Spika hafai..
Tumeshamkabidhi kwa Mwenyezi MUNGU ashugulike nae kama Meko.
Ndio. Sikiliza video hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Acheni kumlisha maneno,
Ndugai hawezi kuzungumza maneno ya hekima hivi
Asiye na dhambi na ampie jiwe mwanamke huyu., wote wakala kona!!!!Hata aongee la maana huyu Spika hafai..
Tumeshamkabidhi kwa Mwenyezi MUNGU ashugulike nae kama Meko.
Unafiki mtupu. Yeye mbona alimpiga mpinzani wake wa uchaguzi fimbo mpaka akazirai. Anajifanya ana uchungu sana?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha".
Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Walifanya kosa sana siku ile alimtandika mwenzie rungu la kichwa ilitakiwa akalale huko kidogoSpika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.