Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika.

Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili unaojitegemea huyumbishwi basi wabunge watakuyumbisha, kumbuka mama ndie mwenyekiti wa chama so wabunge hawatokubali 2025 wasirudi bungeni kisa wewe.

Tafakari mama kaamua, kama mbwae mbwae liwalo na liwe kazi kwako.

SPIKA NDUGAI AJIUZULU USPIKA

Mjukuu wa Mwalimu

Kujiuzulu uspika wa Bunge ndiyo ushauri wa haraka ambao ningeweza kumshauri Job Ndugai, kama ningekuwa mshauri wake wa masuala ya kisiasa.

Kwanini?

1. Spika kwenye Bunge la Tanzania anatokana na chama cha siasa. Vyama huchuja na kupitisha mtu mmoja ili akagombee uspika kisha hupigiwa kura na wabunge. Mwenyekiti wa chama chako akitamka hadharani kauli zinazoonesha wewe hutoshi au hufai kukalia kiti cha uspika, busara ni kuachia ngazi.

2. Spika ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, chombo chenye nguvu zaidi ya kufanya maamuzi ya mara kwa mara, kwa kukasimiwa madaraka na vyombo vingine vya chama. Huko katika vikao vya Kamati Kuu, Rais Samia ndiye mwenyekiti wa vikao na tayari ameonesha kuwa mjumbe mmojawapo (Spika) hana nia njema na serikali pamoja na utekelezaji wa ilani ya chama. Hivyo anayetuhumiwa busara ni kukaa pambeni.

3. Spika amesemwa hadharani na Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama chake pia kuwa mawazo yake yapo kwenye jinsi atakavyonufaika na uchaguzi mkuu wa 2025. Lolote atakalofanya bungeni la kuibana serikali itaonekana ni harakati zake za uchaguzi wa 2025 na akiisifia au kuiunga mkono serikali itaonekana anafanya UNAFIKI TU. Hivyo, hakuna atakalofanya lisilete maneno. Busara ni kujiuzulu.

4. Kwa utamaduni wa CCM, NI LAZIMA Rais aliyeongoza muhula mmoja AACHIWE kugombea tena muhula wa pili. 2021 - 2025 ya Rais Samia inahesabika muhula wa kwanza. Mtu kama Spika anayetokana na CCM kutangazwa hadharani kuwa ana HOMA YA 2025, na pengine ana JAMBO LAKE tofauti na utamaduni na utaratibu wa chama, busara ni KUPISHA. Iwe ni kweli au lah busara ni kujiuzulu tu.

Utamaduni wa kujiuzulu haujazoeleka sana Afrika na Tanzania. Kwa wenzetu, watu hujiuzulu si kwasababu tu wamekosea bali hata kama mawazo yako yametofautiana sana na wenzako walio wengi au mkuu wako.

KWETU TANZANIA licha ya Spika kuwa mkuu wa muhimili wa Bunge kama alivyo Rais ambaye ni mkuu wa muhimili wa Serikali lakini kama Spika na Rais wanatoka chama kimoja hasa CCM, basi Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala ndiye bosi wa Spika. Kutoa kauli zinazotafsiriwa kama ni za kumpinga au kumzodoa Rais na mwenyekiti wa chama chako hasa kama mawazo yako hujayatolea ndani ya vikao halali vya kikatiba na kisheria ni DOSARI KUBWA.

#BUNGEHURU

View attachment 2068729

Spika kwenye Bunge la Tanzania anatokana na chama cha siasa. Vyama huchuja na kupitisha mtu mmoja ili akagombee uspika kisha hupigiwa kura na wabunge. Mwenyekiti wa chama chako akitamka hadharani kauli zinazoonesha wewe hutoshi au hufai kukalia kiti cha uspika, busara ni kuachia ngazi.

Spika ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, chombo chenye nguvu zaidi ya kufanya maamuzi ya mara kwa mara, kwa kukasimiwa madaraka na vyombo vingine vya chama. Huko katika vikao vya Kamati Kuu, Rais Samia ndiye mwenyekiti wa vikao na tayari ameonesha kuwa mjumbe mmojawapo (Spika) hana nia njema na serikali pamoja na utekelezaji wa ilani ya chama. Hivyo anayetuhumiwa busara ni kukaa pembeni.

Spika amesemwa hadharani na Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama chake pia kuwa mawazo yake yapo kwenye jinsi atakavyonufaika na uchaguzi mkuu wa 2025. Lolote atakalofanya bungeni la kuibana serikali itaonekana ni harakati zake za uchaguzi wa 2025 na akiisifia au kuiunga mkono serikali itaonekana anafanya UNAFIKI TU. Hivyo, hakuna atakalofanya lisilete maneno. Busara ni kujiuzulu.

Kwa utamaduni wa CCM, NI LAZIMA Rais aliyeongoza muhula mmoja AACHIWE kugombea tena muhula wa pili. 2021 - 2025 ya Rais Samia inahesabika muhula wa kwanza. Mtu kama Spika anayetokana na CCM kutangazwa hadharani kuwa ana HOMA YA 2025, na pengine ana JAMBO LAKE tofauti na utamaduni na utaratibu wa chama, busara ni KUPISHA. Iwe ni kweli au lah busara ni kujiuzulu tu.

Ndugai Kutoa kauli zinazotafsiriwa kama ni za kumpinga au kumzodoa Rais na mwenyekiti wa chama chako hasa kama mawazo yako hujayatolea ndani ya vikao halali vya kikatiba na kisheria ni DOSARI KUBWA.

#BungeHuru
 
Hili saula Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa nakusema unastresa za 2025 hauna budi kujiuzuru uspika

Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili unaojitegemea huyumbishwi basi wabunge watakuyumbisha kumbuka mama ndie mwenyekiti wa chama so wabunge hawatokubali 2025 wasirudo bungeni kisa wewe

Tafakari mama kaamua kama mbwae mbwae liwalo na liwe kazi kwako
Kasema walimnukuu vibaya na kupindisha ukweli
 
Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika.

Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili unaojitegemea huyumbishwi basi wabunge watakuyumbisha, kumbuka mama ndie mwenyekiti wa chama so wabunge hawatokubali 2025 wasirudi bungeni kisa wewe.

Tafakari mama kaamua, kama mbwae mbwae liwalo na liwe kazi
kama lidiriki kumchapa mtu bakora wakati wa mchakato wa kura za maoni 2015 ndani ya chama usitarajie hilo la kujiuzulu uspika hata kidogo. NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA NAOMBA MUNISAMEHE
 
Kivipi hajiuzulu wakati ule ni muhimili unaofanya kazi bila kuingiliwa ana kinga ya kuto kushtakiwa
 
Nani alisema bungeni hii ni serikali ya mpito?
 
KUna procedure nadhani si mpaka issues iende bungeni wapige kura.
Na kura zisipotosha unaweza tukaingia phase mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa matendo yako ya wazi na yale ya kifichoni yanayojulikana,kesho tangaza kujiuzuru mara moja.Kwa namna mama alivyouambia uma mipango yako na genge lako hufai kuwepo kwenye kiti hiki hadi muda huu.Mama amekuanika hadharani chukua hatua wewe ni mtu mzima jiongeze usisubri kung'olewa
 
SPIKA NDUGAI AJIUZULU USPIKA

Mjukuu wa Mwalimu

Kujiuzulu uspika wa Bunge ndiyo ushauri wa haraka ambao ningeweza kumshauri Job Ndugai, kama ningekuwa mshauri wake wa masuala ya kisiasa.

Kwanini?

1. Spika kwenye Bunge la Tanzania anatokana na chama cha siasa. Vyama huchuja na kupitisha mtu mmoja ili akagombee uspika kisha hupigiwa kura na wabunge. Mwenyekiti wa chama chako akitamka hadharani kauli zinazoonesha wewe hutoshi au hufai kukalia kiti cha uspika, busara ni kuachia ngazi.

2. Spika ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, chombo chenye nguvu zaidi ya kufanya maamuzi ya mara kwa mara, kwa kukasimiwa madaraka na vyombo vingine vya chama. Huko katika vikao vya Kamati Kuu, Rais Samia ndiye mwenyekiti wa vikao na tayari ameonesha kuwa mjumbe mmojawapo (Spika) hana nia njema na serikali pamoja na utekelezaji wa ilani ya chama. Hivyo anayetuhumiwa busara ni kukaa pambeni.

3. Spika amesemwa hadharani na Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama chake pia kuwa mawazo yake yapo kwenye jinsi atakavyonufaika na uchaguzi mkuu wa 2025. Lolote atakalofanya bungeni la kuibana serikali itaonekana ni harakati zake za uchaguzi wa 2025 na akiisifia au kuiunga mkono serikali itaonekana anafanya UNAFIKI TU. Hivyo, hakuna atakalofanya lisilete maneno. Busara ni kujiuzulu.

4. Kwa utamaduni wa CCM, NI LAZIMA Rais aliyeongoza muhula mmoja AACHIWE kugombea tena muhula wa pili. 2021 - 2025 ya Rais Samia inahesabika muhula wa kwanza. Mtu kama Spika anayetokana na CCM kutangazwa hadharani kuwa ana HOMA YA 2025, na pengine ana JAMBO LAKE tofauti na utamaduni na utaratibu wa chama, busara ni KUPISHA. Iwe ni kweli au lah busara ni kujiuzulu tu.

Utamaduni wa kujiuzulu haujazoeleka sana Afrika na Tanzania. Kwa wenzetu, watu hujiuzulu si kwasababu tu wamekosea bali hata kama mawazo yako yametofautiana sana na wenzako walio wengi au mkuu wako.

KWETU TANZANIA licha ya Spika kuwa mkuu wa muhimili wa Bunge kama alivyo Rais ambaye ni mkuu wa muhimili wa Serikali lakini kama Spika na Rais wanatoka chama kimoja hasa CCM, basi Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala ndiye bosi wa Spika. Kutoa kauli zinazotafsiriwa kama ni za kumpinga au kumzodoa Rais na mwenyekiti wa chama chako hasa kama mawazo yako hujayatolea ndani ya vikao halali vya kikatiba na kisheria ni DOSARI KUBWA.

#BUNGEHURU

IMG-20220104-WA0247.jpg
 
Back
Top Bottom