Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

Itakuwa kuna vita ya kimya kimya mbowe na Ndugu hai
 
Kale kaugonjwa kamemwehusha,
Katangulia Meko yeye akipata tu mafua, mapambio yanaanza
 
Ndungai ana chuki binafsi na Mbowe, hilo liko wazi,ukichanganya na tuhuma anazopewa sasa na wanaccm za kumsaliti JPM amechanganyikiwa naona kile kiuvumbe kichwani kinaweza pasuka muda wowote tu.

Eti kiuvimbe![emoji28]
 
Hai huwa hawasemi "ulituRostisha" , wewe utakuwa wa chato tu kwa jiwe.
Mbowe usirudi tena bungeni uliturostisha sana wana hai. Mbowe hastahili kupewa heshima anayopewa.
 
Ndugai bana. Sijui Mbowe alimchampia? Sio kwa hili bifu..
 
Kwa hili naungana na ndugai, wewe umpe jimbo DJ utegemee maendeleo,bure kabisa
 
Spika ni maskini wa akili ndio mana anatoka kabila la ombaomba,anawashwa mzuti kwa kasi sana itakua dawa za kupunguza makali zimeisha
 
Kama unalinganisha maendeleo ya jimbo lako la kongwa na jimbonla hai kule kilimanjaro utakuwa uliosoma pcb ukapata division four
 
Ajibu hoja za kutumiwa na Mwendazake huyu Spika dhaifu,aache mipasho
 
Your browser is not able to display this video.

Ayubu anaweweseka baada ya kupigwa na bomu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…